Pre GE2025 Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone

Pre GE2025 Lema: Tukiruhusiwa tutatumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya mkakati wa Tone Tone

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
awe muwazi tu kwamba wapo tayari kutapeli wananchi kidigitali na kujaribu kufanya money laundring kisayansi,

nadhani wakienda kufanyia Burundi itapendeza zaidi ikiwa wataruhusiwa 🐒
Kwa hiyo mama yetu anafanya launderingi kwa crypto zake? Na mawaziri vijana kadhaa wenye crypto walizolipwa toka nje?

Hebu tujikumbushe pia hapa kwa niaba ya chawa wenye akili za kusahau kama kuku

View: https://www.youtube.com/watch?v=88vRH-iqET0

Back
Top Bottom