Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Acha judgement zako, nature has everything to do hata kama hupendi ni vyema kufunga domo kwa vitu vya watu mkubwaSidhani kama CDM itafanikiwa kupata michango mingi kama ile 2011 - 2015.
All the best CDM
Hope hayakuhusu ndo maana but it’s good for ya mental health boy1) Security Risks....mawindo ya hackers!
2)Lacks government regulations....
Ndg.Lema ANAJIROPOKEA TU.....wanasiasa wa hivi ni kama wale wa Kenya akina MARTHA KARUA et al,maneno meeeengiiiiii .........
#Mama Samia Asemewe!
Yananihusu kwa kuwa Lema anavunja sheria ya BOT.....Hope hayakuhusu ndo maana but it’s good for ya mental health boy
Weka sheria hapa aliyovunja!Yananihusu kwa kuwa Lema anavunja sheria ya BOT.....
*The National Payments System Act of 2015"... unlicenced digital payments....Weka sheria hapa aliyovunja!
Na yeye amesema kama Sheria zitaruhusu!Yananihusu kwa kuwa Lema anavunja sheria ya BOT.....
Kwa kauli hiyo inaonesha kuwa ndugu Lema HAJUI hata utaratibu wa CRYPTOCURRENCY hapa nchini...Na yeye amesema kama Sheria zitaruhusu!
Wapo watanzania wengi duniani wenye nia njema wanaweza kuvunja tu wakarusha madafu! Sio big dealTuachane na regulatory risks, Liquidity ya hiyo coin itakuaje ? Wataalamu watusaidie feasibility ya hii kitu naona kama kuna ukakasi hapa
Ok weka kipengele kinachocontrol kulipwa kwa crypto tuende sawa! Sio lisheria ya kucopy na kupaste la mwigulu ambaye hata yeye mwenyewe halijui*The National Payments System Act of 2015"... unlicenced digital payments....
Kwa nini asijue wakati alipokuwa Mbunge alishiriki hoja ya kuishauri serikali juu ya matumizi ya Cryptocurrency?Kwa kauli hiyo inaonesha kuwa ndugu Lema HAJUI hata utaratibu wa CRYPTOCURRENCY hapa nchini...
Sheria ilitungwa mwaka 2015....miaka 10 yote hii hajui kama ipo, ha ha ha ha Lema kweli "tabura rasa" !!
....hata VPN haziruhusiwi na sheria yetu lakini watu wanazitumia katika simu zao....fahamu kuvunja sheria tuko palepale...Ok weka kipengele kinachocontrol kulipwa kwa crypto tuende sawa! Sio lisheria ya kucopy na kupaste la mwigulu ambaye hata yeye mwenyewe halijui
.....kwa hiyo amesahau alichoshauri huko nyuma ?!!Kwa nini asijue wakati alipokuwa Mbunge alishiriki hoja ya kuishauri serikali juu ya matumizi ya Cryptocurrency?
View: https://youtu.be/xlpyhiiOHBI?si=_kjctfalMENEDnXL
awe muwazi tu kwamba wapo tayari kutapeli wananchi kidigitali na kujaribu kufanya money laundring kisayansi,Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya kwenye mkakati wa Tone Tone.
Soma Pia: Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
Lema amesema hayo wakati wa uzinduzi wa mkakati huo na kueleza kuwa endapo taratibu za kisheria za nchi zikiwaruhusu watatangaza sarafu ya kidijitali ya CHADEMA ambayo itaitwa CDM Coin au CHADEMA Coin.
Mjinga wewe, hapa tulipo tunasubiri maelekezo tuchangie tonetoneSidhani kama CDM itafanikiwa kupata michango mingi kama ile 2011 - 2015.
All the best CDM
Hiyo ni alternative! Siyo kwamba michango haiwezi kupatikana kwa njia nyingine......kwa hiyo amesahau alichoshauri huko nyuma ?!!
Well....sheria inakataza matumizi ya CRYPTOCURRENCY.....kwa hiyo hiyo michango yenu isubiri mabadiliko ya sheria hiyo ya BOT ?!!