Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Kuna wakati unafunika kombe ili mambo yaende. Nikiangalia sana, haya yanayoendelea sio kwa bahati mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi mkuba mwizi wa magari. Matusi yote aliyomtukana Mbowe eti leo ndiyo anajitia kuwa na imani naye, Mbowe usikibali kujihusisha na mashatani hawa akina Lisu. Lisu shetani mkubwaMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambapo pamoja na zawadi nyingine amesema wanaweza kumtafutia Land Cruiser 200.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) Lema ameandika “Mwenyekiti Msatafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Mh. Freeman Mbowe alifanya kazi kubwa za ujenzi wa Chama na mageuzi, nitamshauri Mwenyekiti Lissu kuwa ni jambo la maana kuaanda mkakati maalumu wa kuheshimu commitment yake na kumuaga vizuri na rasmi katika siku itakayopangwa na kuamuliwa”
“Tunaweza mtafutia Land Cruiser 200 Series na some other stuff kuonesha commitment yetu katika kujali na kuheshimu wajibu wake regarding tofauti zilizoonekana wakati wa kampeni, this is possible”
Baada ya kuulizwa kwanini alifuta post hiyo alisema anapaswa kuliweka jambo hilo katika vikao kwanza;
Huko ni kutaka kujikosha, Chama kinahitaji hela kuendesha siasa, ruzuku imekaribia kuisha muda wake wa kupokea. Yeye anataka watu waanze michango kwa mtu binafsi badala ya kuhamasisha michango kwa chama
Wanunue gari ya Mwenyekiti aliyepo kwanza.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambapo pamoja na zawadi nyingine amesema wanaweza kumtafutia Land Cruiser 200.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) Lema ameandika “Mwenyekiti Msatafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Mh. Freeman Mbowe alifanya kazi kubwa za ujenzi wa Chama na mageuzi, nitamshauri Mwenyekiti Lissu kuwa ni jambo la maana kuaanda mkakati maalumu wa kuheshimu commitment yake na kumuaga vizuri na rasmi katika siku itakayopangwa na kuamuliwa”
“Tunaweza mtafutia Land Cruiser 200 Series na some other stuff kuonesha commitment yetu katika kujali na kuheshimu wajibu wake regarding tofauti zilizoonekana wakati wa kampeni, this is possible”
Baada ya kuulizwa kwanini alifuta post hiyo alisema anapaswa kuliweka jambo hilo katika vikao kwanza;
Uchaguzi umeisha mshindi ni CHADEMATeam Mbowe mmepigwa
Alishauri lakini si yeye alietoa gari, + hilo ni kanisa. Si wana siasaAskofu Dr Shoo ana magari mengi tu lakini bado Freeman Mbowe kama muumini alishauri baba askofu apewe Zawadi ya Land Cruiser mpya alipokuwa anastaafu
Hivyo Wazo la Mh Kilewo wa Chadema kumpinga Mh Lema kuhusu Zawadi ya V8 Kwa mstaafu Freeman Mbowe Kwa Madai Mbowe hana shida ya magari halina mashiko
Zawadi ni Zawadi
Ahsanteni sana 😄
Shoo ni mwanasiasa Tena chademaAlishauri lakini si yeye alietoa gari, + hilo ni kanisa. Si wana siasa
Una kadi yake ?Shoo ni mwanasiasa Tena chadema