Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari

Kuna wakati unafunika kombe ili mambo yaende. Nikiangalia sana, haya yanayoendelea sio kwa bahati mbaya.
 
Mpuuzi mkuba mwizi wa magari. Matusi yote aliyomtukana Mbowe eti leo ndiyo anajitia kuwa na imani naye, Mbowe usikibali kujihusisha na mashatani hawa akina Lisu. Lisu shetani mkubwa
 
Ha ha haa
Tangu Lissu apate

Wao ni jinsi ya kupata pesa tu kivyovyoteeeeee

Changisha italetwa kwa njia zote wazijuazo... Matumbooooo
 
Huko ni kutaka kujikosha, Chama kinahitaji hela kuendesha siasa, ruzuku imekaribia kuisha muda wake wa kupokea. Yeye anataka watu waanze michango kwa mtu binafsi badala ya kuhamasisha michango kwa chama

Lissu katamka hawaoni michango, njia ingine hii.. Na bado
 
Mnamuaga mjumbe wa kudumu wa Baraza kuu ili iweje? Je, Mbowe ana njaa kiasi Gani hadi apewe gari?.
 
Wanunue gari ya Mwenyekiti aliyepo kwanza.
 
Zawadi pekee inayomfaa Aikael ni kumpa nafasi ya kudumu katika Kamati Kuu ya Chama
 
Askofu Dr Shoo ana magari mengi tu lakini bado Freeman Mbowe kama muumini alishauri baba askofu apewe Zawadi ya Land Cruiser mpya alipokuwa anastaafu

Hivyo Wazo la Mh Kilewo wa Chadema kumpinga Mh Lema kuhusu Zawadi ya V8 Kwa mstaafu Freeman Mbowe Kwa Madai Mbowe hana shida ya magari halina mashiko

Zawadi ni Zawadi

Ahsanteni sana πŸ˜„
 
Mbowe angepewa zawadi kijitabu cha madhara ya kupokea rushwa ingependeza sana.
 
Alishauri lakini si yeye alietoa gari, + hilo ni kanisa. Si wana siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…