Pre GE2025 Lema Ubunge ndio basi tena?

Pre GE2025 Lema Ubunge ndio basi tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA.

Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
 
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya chadema .
Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
IMG_20241231_164052_104.jpg
 
Ustaadh Lema anagombea Jimbo la Hai na alishaweka wazi mapema Sana 😂
 
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya chadema .
Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
Makonda mwenyewe anautaka Ubunge mpaka Uwaziri.
 
Back
Top Bottom