kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
Cheki unasema alitaka, mbona unamsemea? Nani alikwambia wanaenda kufanya siasa! Mataga waoga sana, wakikumbuka na nyomi la jana ndio kabisaa. WanadataMbowe alitaka kwenda kufanya siasa uwanjani!
Kwa mara ya kwanza nawapongeza sn jeshi la polisiAliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini.
Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, amesema wapinzani wanapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wa kawaida.
“Sina amani kwa tabia nzuri walioonyesha Jeshi la Polisi jana wakati wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu. Ninapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari, kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi” ameandika Lema.
Hapo jana Julai 27, 2020 mamia ya wanachama wa chama hicho wamejitokeza kwa wingi kumlaki makamu mwenyekiti wao, Tundu Lissu aliyerejea nchini baada ya miaka mitatu ya kupatiwa matibabu nchini Ubeligiji.
Mmeanza kuweweseka!
CCM inapenda kuona Tundu Lisu anateuliwa kuwa mgombea urais!

Lema anajaribu kutengeneza taswira kwamba "kuwa mpinzani lazima utendewe mabaya sikuzote", and anasahau kufikiri kwamba yawezekana police waliamua ku withdraw baada ya kugundua kwamba nguvu ya uma/umati mkubwa ulio jitokeza kumpokea Lisu ulikua ni mkubwa hata kuzidi nguvu ilio andaliwa.
Hahahaa, mteka Magari wa A town
Hivi tokea hapo kuna mpinzani ambaye hajatendwa ndani ya miaka 5 hii?Lema anajaribu kutengeneza taswira kwamba "kuwa mpinzani lazima utendewe mabaya sikuzote", and anasahau kufikiri kwamba yawezekana police waliamua ku withdraw baada ya kugundua kwamba nguvu ya uma/umati mkubwa ulio jitokeza kumpokea Lisu ulikua ni mkubwa hata kuzidi nguvu ilio andaliwa.
Kwahiyo walijiandaa kwa vurugu, ilipokosekana anaona mapokezi hayakunoga AU?Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini.
Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, amesema wapinzani wanapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wa kawaida.
“Sina amani kwa tabia nzuri walioonyesha Jeshi la Polisi jana wakati wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu. Ninapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari, kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi” ameandika Lema.
Hapo jana Julai 27, 2020 mamia ya wanachama wa chama hicho wamejitokeza kwa wingi kumlaki makamu mwenyekiti wao, Tundu Lissu aliyerejea nchini baada ya miaka mitatu ya kupatiwa matibabu nchini Ubeligiji.
Bwashee ukishakunywa wanzuki akili zinakutoka?Mmeanza kuweweseka!
CCM inapenda kuona Tundu Lisu anateuliwa kuwa mgombea urais!
LemaAliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini.
Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, amesema wapinzani wanapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wa kawaida.
“Sina amani kwa tabia nzuri walioonyesha Jeshi la Polisi jana wakati wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu. Ninapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari, kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi” ameandika Lema.
Hapo jana Julai 27, 2020 mamia ya wanachama wa chama hicho wamejitokeza kwa wingi kumlaki makamu mwenyekiti wao, Tundu Lissu aliyerejea nchini baada ya miaka mitatu ya kupatiwa matibabu nchini Ubeligiji.
Asijekuwa anataka kutengeneza tukio maana nae na boss wake ni watuhumiwaAliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini.