Subutuuuu waliji withdraw kwa sababu Tanzania kuna ugeni kwa ajili ya mazishi. Ingeleta picha mbaya.Lema anajaribu kutengeneza taswira kwamba "kuwa mpinzani lazima utendewe mabaya sikuzote", and anasahau kufikiri kwamba yawezekana police waliamua ku withdraw baada ya kugundua kwamba nguvu ya uma/umati mkubwa ulio jitokeza kumpokea Lisu ulikua ni mkubwa hata kuzidi nguvu ilio andaliwa.
Ule umati unatosha gari moja tu la washawasha bila hata shida kabisa.Lema anajaribu kutengeneza taswira kwamba "kuwa mpinzani lazima utendewe mabaya sikuzote", and anasahau kufikiri kwamba yawezekana police waliamua ku withdraw baada ya kugundua kwamba nguvu ya uma/umati mkubwa ulio jitokeza kumpokea Lisu ulikua ni mkubwa hata kuzidi nguvu ilio andaliwa.
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini.
“Sina amani kwa tabia nzuri walioonyesha Jeshi la Polisi jana wakati wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu. Ninapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari, kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi” ameandika Lema.

Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, amesema wapinzani wanapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wa kawaida.

Hapo jana Julai 27, 2020 mamia ya wanachama wa chama hicho wamejitokeza kwa wingi kumlaki makamu mwenyekiti wao, Tundu Lissu aliyerejea nchini baada ya miaka mitatu ya kupatiwa matibabu nchini Ubeligiji.
Kumbe na we umewashtukia.Kiki zilibuma sivyo walivyotegemea
Naam uko sahihi, ni tofauti na yakwako ya kishoga
Kama huwezi kuamini huduma zinazotolewa na serikali utaamini ya nani sasa. Ndiyo maana hamkuamini hata ratiba ya mazishi mkatoka na ratiba matokeo yake mkakwama. HAISHANGAZI SANAAliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema ameonya wanachama na wapenzi wa chama hicho juu ya ukimya ulioonyeshwa na jeshi la polisi jana wakati wa mapokezi ya makamu wa mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu alipowasili nchini.
Lema ameonya hayo kupitia ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, amesema wapinzani wanapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wa kawaida.
“Sina amani kwa tabia nzuri walioonyesha Jeshi la Polisi jana wakati wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu. Ninapaswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari, kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi” ameandika Lema.
Hapo jana Julai 27, 2020 mamia ya wanachama wa chama hicho wamejitokeza kwa wingi kumlaki makamu mwenyekiti wao, Tundu Lissu aliyerejea nchini baada ya miaka mitatu ya kupatiwa matibabu nchini Ubeligiji.
Swala kapita kwenye ukoo wa simba" SALAMA ".
[emoji16][emoji16][emoji16].