johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hivi na wewe bado kuna watu wanakufuatilia.Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Mzee wangu mbona hukosi kwenye twitter space zake/zao?Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Kama wewe unavyofuatilia uteuzi, endelea.Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Unaachaje kumfuatilia mtu aliyesema kwa usahihi kuwa jiwe lisipotubu litakufa na lilipofanya kiburi likafa kweli?Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
WIVU!Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Lema si nabii ama umesahau kaka.Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Hahahaaaa...... Yote maisha!Hivi na wewe bado kuna watu wanakufuatilia.
Mzee wa kura moja unayenanga wenye kula 100000Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Ndiyo na jina hakwepeshi ingawa ni mdogo wangu kiumriUnamfahamu zaidi ya hapa JF?
Ukitaka kujua jamaa mweupe mwambieni aje Twitter.Hivi na wewe bado kuna watu wanakufuatilia.
kuna mda tunashindwa kujua kama u-timamu ? ...anywayDuh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Huyu Mayalla bora hata angeitwa Lofindo ingekua afazali.just jockingMayala wote tunajua ni njaa, tunafuatilia kujua maana ya Lema.
Ushawahi kuona mtu anakufa lakini haachi kusemwa kwenye vinywa vya watu? That goes to tell you kwamba mtu huyo kufa kwake si kitu bali ni mbegu ya chachu ya mabadiliko makubwa sana yanayofuata very soon. Baada ya Magufuli we can't afford kuruhusu mapoyoyo yaturudishe utumwani. Matter of time!Unaachaje kumfuatilia mtu aliyesema kwa usahihi kuwa jiwe lisipotubu litakufa na lilipofanya kiburi likafa kweli?