Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Ushawahi kuona mtu anakufa lakini haachi kusemwa kwenye vinywa vya watu? That goes to tell you kwamba mtu huyo kufa kwake si kitu bali ni mbegu ya chachu ya mabadiliko makubwa sana yanayofuata very soon. Baada ya Magufuli we can't afford kuruhusu mapoyoyo yaturudishe utumwani. Matter of time!
Mmesharudi na hamna kitu mtafanya
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Kaka kwako wewe haki sio mambo ya msingi? Lema ametetea sana haki za watu kwakusimama front ndomana akaandamwa
  • kuhusu polisi kutesa watu
  • kuhusu Azory Gwanda
  • kuhusu mbowe
  • kuhusu wamachinga Arusha etc.
  • kuhusu Tundu lissu,Ben saanane
    - kuhusu maduka ya fedha na wafanya biashara
Nk.
Siosawa kudharau michango yake ingia YouTube umsikilize ka MTU huru sio kama CCM unayesaka cheo. Jitahidi anyway unaezapewa ata UDC mahali
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Ukiacha lema wewe umeongea nini la maana ukiacha kuwa chawa wa serikali
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Jipange ukagombee ubunge tena 2025 unaweza kupata zaidi ya zile kura ulizopa msimu uliopita
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Alimwambia nini Mrisho Gambo? jamaa ni Nabii mzuri sn
 
Mbunge mstaafu wa Arusha mh Godbless Lema anasema Wachagga wana msemo unasema " Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Nyakati hizi za kesi za ugaidi hizi tungo tata zinafikirisha sana.

Je, Lema anapeleka huo ujumbe kwa bwashee gani?

Maendeleo hayana vyama!
Anapeleka kwa mbowe.
 
Back
Top Bottom