Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Aisee. Uzi wa yohanambatizaji umeporwa na paskali kwa post moja tu! Hongera Mayala. Anyway, ni namna nzuri ya kujipima umaarufu. There’s no bad publicity misunderstandings notwithstanding.
 
Huyu Lema mwenyewe matako tu, mbona hataki kurudi sasa na jiwe hayupo?? anafurahia benefits tu kama matako yule mwingine wa belgium. wakimbizi mbuzi nyoko zenuu nyie cowards.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Na wewe pia ni mfuasi wake,ndio mana umefungua uzi ukasoma na mwisho ukakomenti, endelea kumfatilia tu
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P

Pamoja na mapungufu yake yote, bado Lema ana point kuliko ww, na anasimama kama mwanamume kweli bila kutegemea mbeleko wala kujipendekeza kwa yoyote.

Ww baki kujipendekeza na kumsikiliza PM akisema uongo kuhusu reli ya SGR kuwa ni lini itaanza kazi.
 
Kumbe vijana mmepinda, wewe wa kumtukana Pascal Mayalla kweli

Kaka Niamini mimi 100%
Huyu kijana aliemtukana Kaka Pascal Mayalla
Hajaelimika,Kama amesoma alikuwa ni Mzigo tuu chuoni hakufaulu kwa jasho lake!
Huwezi kumtukana mtu ambae hajakutukana!
Na hata kama amekutukana Busara haisema umrudishie...
Na Huyu Kijana Amni hana Kazi inayoeleweka ndio maana anahisi Kukisa Kwake kumesababishwa na Pascal
Yaani nilikuwa nafanya Mazoezi hapa nimesitisha ghafla...
Ila Easy!
Cc: Msangarufu
 
Huyu Lema mwenyewe matako tu, mbona hataki kurudi sasa na jiwe hayupo?? anafurahia benefits tu kama matako yule mwingine wa belgium. wakimbizi mbuzi nyoko zenuu nyie cowards.

Mkuu kama wewe ni Mwamba kweli mtukane Pia na Msangarufu [emoji1][emoji3516][emoji41] aliemtukana Pascal Mayalla juu hapo
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Daah umepotea sana mkuu
 
Kumbe kama kuna mambo makubwa aliyasema na yakatokea, unachoshangaa nini watu kuendelea kumfuatilia? Unataka kila analosema leo basi litokee hapo hapo ndio nawe umfuatilie? Kumbuka hata biblia imesema Yesu atarudi, hadi sasa ni miaka 2000+ hajaonekana ila bado watu wanaamini na kuifuata.

Sijui wewe unayepi ya maana umeyasema na yakatokea yote hapo hapo? Pascal Mayalla

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Umeandika nini hiki , unakwama wapi mkongwe” au ndio njaa imepanda kichwani..?!
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Najua kabisa Pascal huwa anaandika hoja zake kwa kuanzia kushoto kwenda kulia kama waarabu. Mtu akikusoma hapa atadhani umemponda Lema kumbe nia yako ilikuwa ni kukumbusha ile ''ndoto'' yake maarufu.
 
Back
Top Bottom