Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Haiwezekani mtu kutabiri mambo mawili makubwa ktk nchi halafu yakatokea exactly .... halafu Mayalla ukatushauri tumpuuzie huyo mtu..

Kwa wenye macho ya rohoni, Lema si mtu wa kumbeza km unavyotaka kutuaminisha.
 
Lema ni jasiri mkuu
lema ni jembe!
lema anajua kujenga hoja za ushindani.
Lema ni mtu wa maono.
Nikuulize wewe, umejenga legacy gani inayoweza kushindana na Lema japo kwa 2%
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Haiwezekani mtu kutabiri mambo mawili makubwa ktk nchi halafu yakatokea exactly .... halafu Mayalla ukatushauri tumpuuzie huyo mtu..

Kwa wenye macho ya rohoni, Lema si mtu wa kumbeza km unavyotaka kutuaminisha.
Hapa wa kupuuzwa ni pasko kama alivyopuuzwa na wananchi wa Kawe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbunge mstaafu wa Arusha mh Godbless Lema anasema Wachagga wana msemo unasema " Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Nyakati hizi za kesi za ugaidi hizi tungo tata zinafikirisha sana.

Je, Lema anapeleka huo ujumbe kwa bwashee gani?

Maendeleo hayana vyama!
anayeondoa mashetani na mapepo
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Usijali atakuja nalo kilajambo nawakati wake ,endeleeni kuthibiti kurudi kwa lisu yatatamkwa
 
Wewe lamba makalio ya WanaLumumba, Lema ni habari nyingine ile.

Kaa nae mbali.
Kweli Lema ni habari nyingine. Maana yake anawapumulia visogoni vijana wa ufipa bila huruma. Wanatweta badala ya kuhema.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Pasi, ungepiga kimya. Give credits when due. LEMA is plays his own league as yours.
Shindana nae kwa hoja papasa. Tunakuaminia sana unguli wako you can write more and bring settlements more on critical issues. Ila wewe ni kada mwenzetu mwadilifu hivyo ni sawa tu ufanyavyo.

Ni hayo tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom