Alimwambia ipo siku wana CCM wenzako watakugeuka, nini kinatokea sahivi kila siku analalamika kuwa wamemtenga mara tulikuwa tunawafanyia wapinzani sasahivi tunafanyiana wenyewe? Ukitenda ushetani lazima utalipwa hapa hapa, Makonda vipi? leo hii Ndugai ukimuweka hata na Mrisho Ngasa, Ngasa jamii inamheshimu kuliko Ndugai same to Polepole, Kabudi, Bashiru na takataka zingine. Wewe mwenyewe mkuu 2016 mpaka 2018 jamii ilikuwa inakukubali sn ukionekana kwenye kipindi (runinga) kila mtu alikuwa alikuwa anafuatilia kwa makini sn lakini baada ya kujiunga na shetani heshima yako imeshuka sn bellow 20%.