Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na
Swali Fupi sana kama na wewe humfuatilii kipi kimekufanya usome huu uzi kwa sababu huu uzi Title ina Jina LEMA kama ungekua humfuatilii usingeusoma na usingejua kipi amesema na Real usinge comment chochote.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Mkuu jiheshimu basi, mana kuna wengine bado tunakuona wa maana ila unatukwaza. Ningeshauri ni bora ukae kimya mkuu.
 
Ushawahi kuona mtu anakufa lakini haachi kusemwa kwenye vinywa vya watu? That goes to tell you kwamba mtu huyo kufa kwake si kitu bali ni mbegu ya chachu ya mabadiliko makubwa sana yanayofuata very soon. Baada ya Magufuli we can't afford kuruhusu mapoyoyo yaturudishe utumwani. Matter of time!
Hahahah mbona wew bado uko utumwani sema hujijui. Lini shetani ameachwa kusemwa duniani? Angalia kuna mwovu gani ameachwa kusemwa mpaka leo. Kuna kitu nchi kama nchi ilikosea na tukapewa adhabu ya kuwa na Rais kama Jiwe. Wananchi wakamlilia Mungu na kutubu then Jiwe likatoweshwa.
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Rejea ndoto iliyomuweka Lema gerezani
 
Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P
Lena na wewe Pascal Hamna utofauti. Wote wachumia tumbo tulishaachaga kitambo kuwafuatilia
 
mkuu kojoa ulale ama wamekunyofoa kojoleo huko mashenzini

Yule mzinza wa Chato aliambiwa ajirekebishe aside akashupaza shingo sasa hivi kawa chakula ya sisimizi na uzao wake wote uko kwenye rada za aliowaonea

soon msukuma makalio mwenzio Bashite atakwenda kuungana na jambazi Sabaya na baada ya hapo utashtuka kufahamu kuwa msyalla maana yake ni njaa ya kichwani,makalioni & matumboni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na mapungufu yake yote, bado Lema ana point kuliko ww, na anasimama kama mwanamume kweli bila kutegemea mbeleko wala kujipendekeza kwa yoyote.

Ww baki kujipendekeza na kumsikiliza PM akisema uongo kuhusu reli ya SGR kuwa ni lini itaanza kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom