Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Aongeza kuwa wanaofanya hivi hawana nia nzuri na chama, wananunua matatizo kwaajili gani, sababu kuwa kiongozi wa chama cha upinzani ni matatizo.
Na kusisitiza wajumbe wamchague Heche kuwa Makamu Mwenyekiti, akiongeza kuwa angekuwa na mamlaka ya kichama wenye hakutakiwa kuwa mwanachama wa CHADEMA, sababu amewafikisha hapo walipo.
Pia soma:
Pre GE2025 - Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
Wakuu, Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari. Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya...