Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi.
Wakuu, Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari. Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya...
www.jamiiforums.com
Aongeza kuwa wanaofanya hivi hawana nia nzuri na chama, wananunua matatizo kwaajili gani, sababu kuwa kiongozi wa chama cha upinzani ni matatizo.
Na kusisitiza wajumbe wamchague Heche kuwa Makamu Mwenyekiti, akiongeza kuwa angekuwa na mamlaka ya kichama wenye hakutakiwa kuwa mwanachama wa CHADEMA, sababu amewafikisha hapo walipo.
Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi.
Aongeza kuwa wanaofanya hivi hawana nia nzuri na chama, wananunua matatizo kwaajili gani, sababu kuwa kiongozi wa chama cha upinzani ni matatizo.
Na kusisitiza wajumbe wamchague Heche kuwa Makamu Mwenyekiti, akiongeza kuwa angekuwa na mamlaka ya kichama wenye hakutakiwa kuwa mwanachama wa CHADEMA, sababu amewafikisha hapo walipo.
Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi.
Aongeza kuwa wanaofanya hivi hawana nia nzuri na chama, wananunua matatizo kwaajili gani, sababu kuwa kiongozi wa chama cha upinzani ni matatizo.
Na kusisitiza wajumbe wamchague Heche kuwa Makamu Mwenyekiti, akiongeza kuwa angekuwa na mamlaka ya kichama wenye hakutakiwa kuwa mwanachama wa CHADEMA, sababu amewafikisha hapo walipo.
Hivi kwa nini wanasema Wenje kawafikisha hapa walipo? Walitaka anyamazie mipango yao ya kumuondoa Mwenyekiti? Kwani wangetangaza mapema kuwa hiyo ndio nia yao pangeharibika kitu gani? Hapa hata hawajashinda wameanza kuzungumzia kumfukuza uanachama mtu aliyetofautiana nao! Hawa wakishinda wataanza juhudi za kumuangushia jumba bovu Mbowe. Na baada ya hapo watageukana. Hilo sina shaka nalo kabisa.
Hata mimi binafsi ninaanza kuamini zile tetesi toka Twitter kuwa kuna asali ya 12B imekuwa injected ndani ya chama. Dr Slaa kazungumzia hilo suala Twitter.
Kama hizo tetesi za 12B ni za ukweli basi Abdul yupo serious MNO.