Pre GE2025 Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenje ni nani kwenye chama hadi awe mashuhuri kiasi hicho kuzuia mapinduzi ya sultan kama unavyodai?

Kwanza kuna watu huyo wenje wala walikuwa hawamfahamu kwa sura wala jina ila baada ya hii kashifa ya kuwa kuwadi wa abdul ndio watu wameanza kumfuatilia
 
Kama ni mdogo kama unavyosema kwa nini Lissu, Heche na sasa Lema hawaachi kumsema?
Lissu mwenyewe amesema kuwa Wenje amewageuka. Na Wenje anasema alistuka alipothibitisha kuwa madai ya kuwa Mbowe amehongwa gari na Abduli kuwa yalikuwa ya uongo. Mbowe alimuonyesha risiti za manunuzi na mpaka ushauri wake kwa Chadema kuwa nao wanunue magari katika huo mnada.

Shida yenu ni kuwa ni wavivu wa kufikiri na mnapenda kumuabudu mtu ambae anawaahidi kuwa yeye ndie mwokozi wenu.

Amandla...
 
Hizo hadithi tu za pwagu na pwaguzi kutoka kwa wenje
 
Naunga mkono hoja 💯 %
 
the misuse of public fund. kwenye nchi siriazi kuna watu walipaswa wachapwe risasi hadharani.
shoe-wine!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…