Lemutuz: Ahsante Lulu, wewe ndiye rafiki wa kweli


Hakujifunza hayo miaka yote hyo aje ajifunze akiwa 60s?manina zake
 
Unaguna huamini au unashangaa? Mwenyewe anasema kila akitaka kupropose huyu kinaibuba kifaa kipya! Hata ile harusi yake aliyosema uwanja wa Taifa hapatoshi sijui imeishia wapi!?

Kah!! Eti uwanja wa taifa,

Wakati mwngine ukimsoma le mutuz unaishia kucheka!!
 
le mutuz is retarded,..hili babu eti rafiki yake ana miaka 20!!!i feel sorry for his mom,it's hard to have the old fat laughing stock son.
 
le mutuz anawakilisha tabia za wanaume wa Dar
 
ah ah hiyo picha ni kama lulu na babu yake
 
Babu Muongo anadai cocacola walimlipa hahahah


 
Babu Muongo anadai cocacola walimlipa hahahah

Teh teh utafungwa! Najiuliza kweli wanalipwa au ni bure? Na kama ni bure hao macelebrity watakuwa ni wajinga maana Coca-cola watafanya biashara kupitia majina yao.... nitashangaa kama hawalipwi
 
Teh teh utafungwa! Najiuliza kweli wanalipwa au ni bure? Na kama ni bure hao macelebrity watakuwa ni wajinga maana Coca-cola watafanya biashara kupitia majina yao.... nitashangaa kama hawalipwi

hawalipwi chochote wenyewe wanaona raha tu vile wanavyoandikwa majina yao basi wanajiona special kumbe wenzao wanawaona mamburula...mimi nilishangaa kila mtu jana kaandikwa nilipoona had izo b nae yumo nikasema hao bila shaka ni matapeli
 
Hivi kesi ya Kanumba iliishia wapi? Sijasikia ikitajwa kabisa!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Huyu mtu yuko in mid 50's na Lulu ndiyo kwanza kama sikosei ana 19 years old. Hivi hana marafiki wa rika lake wanaoweza kumpa mawazo yanayoendana na umri wake? People should consult this fool, anajiabisha mno.
 
Mtoto wa kike wa Le Mutuz aliyemtelekeza ughaibuni,amemzidi Lulu miaka 3,Sasa baba yake ndiyo huyu anacheza na vibinti vidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…