Lemutuz: Ahsante Lulu, wewe ndiye rafiki wa kweli

Lemutuz: Ahsante Lulu, wewe ndiye rafiki wa kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na Muigizaji Lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matatizo na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea.

Le mutuz alifunguka “Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na Le super mademu mburulazzz mazafantazzzz nilipotangaza my House warming Party yanapiga Simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna hayapigi Simu Le mazafantazzz thank U Super Star Lulu you are a true friend sio le mburulazzzz yanajua kuulizia Party tu the brainlessss mazafantazzz hahahahahahah U know!

Le Mutuz” Kwa mujibu wa Le mutu, kwa sasa Mama yake yupo poa, na leo hii anarudu Dar kutokea Mbeya ambako alikwenda kumona mama yake. Sasa wale mabebez wengine anaopigaganao mapicha watakuwa kwenye hali gani baada ya Le Mutuz kuwapa makavu.

Hakujifunza hayo miaka yote hyo aje ajifunze akiwa 60s?manina zake
 
Unaguna huamini au unashangaa? Mwenyewe anasema kila akitaka kupropose huyu kinaibuba kifaa kipya! Hata ile harusi yake aliyosema uwanja wa Taifa hapatoshi sijui imeishia wapi!?

Kah!! Eti uwanja wa taifa,

Wakati mwngine ukimsoma le mutuz unaishia kucheka!!
 
ah ah hiyo picha ni kama lulu na babu yake
 
Babu Muongo anadai cocacola walimlipa hahahah


hahahahahahaha uknw Mimi nimekaa nje ya nchi kwa muda mrefu kuliko mtanzania yeyote uknw kwa hiyo najua maana ya rafiki uknw and i knw nothing about uswahiliz uknw....
Uknw nilipo sema Lulu ni rafiki wa kweli wengi wamenuna na kusikia wivu uknw
Mimi nasema sina muda na supergadem waswahiliz wasio na shulez kama una wivu kufa for me...
hahahha i like it
King of all bongo social media
 
Babu Muongo anadai cocacola walimlipa hahahah

Teh teh utafungwa! Najiuliza kweli wanalipwa au ni bure? Na kama ni bure hao macelebrity watakuwa ni wajinga maana Coca-cola watafanya biashara kupitia majina yao.... nitashangaa kama hawalipwi
 
Teh teh utafungwa! Najiuliza kweli wanalipwa au ni bure? Na kama ni bure hao macelebrity watakuwa ni wajinga maana Coca-cola watafanya biashara kupitia majina yao.... nitashangaa kama hawalipwi

hawalipwi chochote wenyewe wanaona raha tu vile wanavyoandikwa majina yao basi wanajiona special kumbe wenzao wanawaona mamburula...mimi nilishangaa kila mtu jana kaandikwa nilipoona had izo b nae yumo nikasema hao bila shaka ni matapeli
 
Hivi kesi ya Kanumba iliishia wapi? Sijasikia ikitajwa kabisa!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Huyu mtu yuko in mid 50's na Lulu ndiyo kwanza kama sikosei ana 19 years old. Hivi hana marafiki wa rika lake wanaoweza kumpa mawazo yanayoendana na umri wake? People should consult this fool, anajiabisha mno.
 
Mtoto wa kike wa Le Mutuz aliyemtelekeza ughaibuni,amemzidi Lulu miaka 3,Sasa baba yake ndiyo huyu anacheza na vibinti vidogo.
 
Back
Top Bottom