Lemutuz: Ahsante Lulu, wewe ndiye rafiki wa kweli

Lemutuz: Ahsante Lulu, wewe ndiye rafiki wa kweli

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na Muigizaji Lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matatizo na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea.

Le mutuz alifunguka "Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na Le super mademu mburulazzz mazafantazzzz nilipotangaza my House warming Party yanapiga Simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna hayapigi Simu Le mazafantazzz thank U Super Star Lulu you are a true friend sio le mburulazzzz yanajua kuulizia Party tu the brainlessss mazafantazzz hahahahahahah U know!

Le Mutuz" Kwa mujibu wa Le mutu, kwa sasa Mama yake yupo poa, na leo hii anarudu Dar kutokea Mbeya ambako alikwenda kumona mama yake. Sasa wale mabebez wengine anaopigaganao mapicha watakuwa kwenye hali gani baada ya Le Mutuz kuwapa makavu.
 
Attachments

  • 1421175356134.jpg
    1421175356134.jpg
    59.8 KB · Views: 1,553
Amewahi kurudi kufungua nyumba yke istead y kumleta maza downtwn nae ale bata n kubadili upepo

Yani inasikitisha sana,babu alimsahau sana Mama yake,alafu ana claim kuwa kila akijadiliwa anaingiza pesa!
 
si ndo nashangaa hata mimi, mchawi toka lini akawa na urafiki na watu wa Mungu? kashazoea marafiki wa bata tu

Alafu hao watu anaopiga nao picha sidhani hata kama huwa wanamkumbuka akiwapa mgongo!!Anaugonjwa unaitwa 'Kujikomba Syndrome' hadi aibuu!Sipati picha mbebez wake anajisikiaje his man running like a baby begging to take a pic!
 
Eti rafiki yake....khaaa kabla dunia haijaisha tutaona mengiii...

hahahahahahaha uknw Mimi nimekaa nje ya nchi kwa muda mrefu kuliko mtanzania yeyote uknw kwa hiyo najua maana ya rafiki uknw and i knw nothing about uswahiliz uknw....
Uknw nilipo sema Lulu ni rafiki wa kweli wengi wamenuna na kusikia wivu uknw
Mimi nasema sina muda na supergadem waswahiliz wasio na shulez kama una wivu kufa for me...
hahahha i like it
King of all bongo social media
 
Alafu hao watu anaopiga nao picha sidhani hata kama huwa wanamkumbuka akiwapa mgongo!!Anaugonjwa unaitwa 'Kujikomba Syndrome' hadi aibuu!Sipati picha mbebez wake anajisikiaje his man running like a baby begging to take a pic!

hahahahaha
Uknw ma mbebiz ni mkarez na nimulewa sana sio mswahiliz uknw.. ana shule kichwani sio mburulaz uknw....soon tutafunga ndoa na nitakupa mualiko uknw.
halafu webebiz wengi hasa superlemtindiz huwa wanaomba kupiga picha na mimi maana wana niona ni baby face halafu celebrity mkubwa uknw .nitaanza kulipisha wanao taka kupiga na mimi picha..
hahahaha i love it
 
Ha ha haaaaaaaa Ruttashobolwa my brother you know!!!
 
Last edited by a moderator:
Ila tuache masihara huyu jamaa ni funga kazi yani umri ule anatachaguwa bado mchumba wa kuoa aisee!!
 
huu uzi utajaa koments veri sun kuonesha anafuatiliwa sana so ni big star
 
Nilipokuwa nasoma hii post nilidhani ni kijana labda mwanafunzi wa makongo au tegeta lakini nilipokuja kuangalia picha nikashangaa sana umri wa huyu mtu na maneno ya kishoga anayoandika. Unajua hawa viongozi wetu hii tabia ya kuzaazaa hovyo ni lazima tu utazaa kituko kama hiki. Imagine hapa ndio amezeeka yupo hivi je alipokuwa kijana alikuwaje? Si itakuwa alikuwa ndondocha kabisa huyu.
 
Back
Top Bottom