Lemutuz amwaga mamilioni huko instagram

Akili kubwa ni kiboko wewe...kuna siku walikutanishwa Clouds TV yericko nusu akimbie..pamoja na mambo yake Lemutuz yuko vizuri kichwani!
Teh teh..Mmarekani amemzidi mrusi.....Yercko nasikia kapigwa life ban humu..Ntammiss huyu comedian kwa kweli
 
Teh teh..Mmarekani amemzidi mrusi.....Yercko nasikia kapigwa life ban humu..Ntammiss huyu comedian kwa kweli
Sidhani kama kapigwa ban ......atakuwa yuko kimya kutokana na case inayo mkabili!
 
NAMKUBALI SANA HUYU MTU...

Wabongo punguzeni majungu..
 
Hili jamaa akili imedumaa......
 
Teh, mi nakumbuka nilicheka tu sijui alifanya nini nikablokiwa,huyu baba hataki critics ajabu sana.
hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana
 
hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana
Hahahahahaa akili za Le Mutuz ni sawa na za Gigy.
Ile siku aliyotukanwa na Tekno na mimi nilishangilia,nikamtumia request hakukubali......
Jana nimemrequest kwa fekero akakubali fastaaaa.
 
Hahahahahaa akili za Le Mutuz ni sawa na za Gigy.
Ile siku aliyotukanwa na Tekno na mimi nilishangilia,nikamtumia request hakukubali......
Jana nimemrequest kwa fekero akakubali fastaaaa.
yaani wanafanana vitu vingi sana hawa watu,kuanzia kupenda attention,ubonge wao na huyo giggy tusijetukashangaa na yy akaanza kujiita akili kubwa muda si mrefu
 
Huyo tajiri ashakarabati nyumba ya mama yake kule Tunduma?
 
hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana
Hahah sasa anapenda kusifiwa tu comment zote ukipitia ni watu wanaompa bichwa tu,aah bora alivyoniblok
 
yaani wanafanana vitu vingi sana hawa watu,kuanzia kupenda attention,ubonge wao na huyo giggy tusijetukashangaa na yy akaanza kujiita akili kubwa muda si mrefu
Hahahahaaa ama kweli duaniani wawili wawili,hatimaye Le Mutuz kapata wa kumfanania.
 
hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana
Hahahahaha Uknw nilipokuwa majuuz nachukua degree uknw nilisomea mambo mengi yakiwemo mambo ya fashioon....!

Uknw hayo mashati nilianza kuvaa nikiwa marekani nafanya kazi kwenye mgahawa uknw..nilikuwa navaa shati kubwa ambalo nililipa jina la phantom na kama lingepimwa ukubwa kwa vipimo vya kitanda basi lingekuwa ni 6×6 uknw... lilknipa umaarufu majuuz na nikaanza kupata followers wengi kwenye Fb... Uknw kwakuwa nilikuwa akili kubwaz toka zamani nikabuni shati lingine ambalo mtu anaweza akalifanya kama mkeka kwa ukubwa lilionao... uknw nilikuwa nalitumia kwenda nalo kwenye kumbi za starehe na marafiki zangu mabillionaire....!

Uknw nimepata followers wengi kupitia aina zangu za mitindo za uvaaji na mnavyo niongelea ndivyo napata madeal zaidi...Uknw nilivyo rudi bongo nilirudi na mashati makubwa kama manne yale mengine ni madogo lakini lepanya road wanasema makubwa kwa sababu hawajui...ninalo moja la kupikia liko classic uknw...nina shukuru watu wameanza kupenda...!

Uknw le madebe matupu mnapoteza muda kunijadili na mimi napata deal nyingi...Uknw am humbled...
hahahaha The king of all social network...
 
Mzee Marichela alipata hasara kwa huyu mwanae Le mbebezzzz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…