Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..Mmarekani amemzidi mrusi.....Yercko nasikia kapigwa life ban humu..Ntammiss huyu comedian kwa kweliAkili kubwa ni kiboko wewe...kuna siku walikutanishwa Clouds TV yericko nusu akimbie..pamoja na mambo yake Lemutuz yuko vizuri kichwani!
Sidhani kama kapigwa ban ......atakuwa yuko kimya kutokana na case inayo mkabili!Teh teh..Mmarekani amemzidi mrusi.....Yercko nasikia kapigwa life ban humu..Ntammiss huyu comedian kwa kweli
Unamkubali nani???huyu baba swaleh???..NAMKUBALI SANA HUYU MTU...
Wabongo punguzeni majungu..
Unamkubali nani???huyu baba swaleh???..
Hahahaa hivi yuko wapi huyu mtu jamaniii, kuna siku alinifurahisha sana daah...Hahaha Mfanya biashara mkubwa .....Teh Teh umenikumbusha Yericko nyerere
hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhanaTeh, mi nakumbuka nilicheka tu sijui alifanya nini nikablokiwa,huyu baba hataki critics ajabu sana.
Hahahahahaa akili za Le Mutuz ni sawa na za Gigy.hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana
yaani wanafanana vitu vingi sana hawa watu,kuanzia kupenda attention,ubonge wao na huyo giggy tusijetukashangaa na yy akaanza kujiita akili kubwa muda si mrefuHahahahahaa akili za Le Mutuz ni sawa na za Gigy.
Ile siku aliyotukanwa na Tekno na mimi nilishangilia,nikamtumia request hakukubali......
Jana nimemrequest kwa fekero akakubali fastaaaa.
Hahah sasa anapenda kusifiwa tu comment zote ukipitia ni watu wanaompa bichwa tu,aah bora alivyoniblokhata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana
Hili jambo hapendi kuliongelea,usimkwaze tafadhaliHuyo tajiri ashakarabati nyumba ya mama yake kule Tunduma?
Hahahahaaa ama kweli duaniani wawili wawili,hatimaye Le Mutuz kapata wa kumfanania.yaani wanafanana vitu vingi sana hawa watu,kuanzia kupenda attention,ubonge wao na huyo giggy tusijetukashangaa na yy akaanza kujiita akili kubwa muda si mrefu
Yupo humu sana ....Hahahaa hivi yuko wapi huyu mtu jamaniii, kuna siku alinifurahisha sana daah...
Ni kweli shati lake linauwezo wa kufunika Starlet?
Hahahahaha Uknw nilipokuwa majuuz nachukua degree uknw nilisomea mambo mengi yakiwemo mambo ya fashioon....!hata ukimwambia mbona unavaa shati kubwa anakublock wakat ni ukweli huyu jamaa bhana