Lemutuz amwaga mamilioni huko instagram

Lemutuz amwaga mamilioni huko instagram

Kwani le mutuz nae kigogo nchi hii au? Eti wanasema shati lake unaweza toa pande mbili za pazia za milangoni
 
Nimesikia eti anataka kukuoa na harusi yenu itafanyikia Paris..wafanyabiashara wakubwa kwa mbwembwe bhana..
Hahaha u know tulitaka ifanyikie uwanja wa taifa but bcoz I'm a big celebrity Imebidi niahirishe tu mamen coz kila mtu anataka kushuhudia harusi ya king of bongo all social media networks

Afu wewe una masters kweli au unapiga tu kelele hapa
 
Last edited:
Hahahahaha Uknw nilipokuwa majuuz nachukua degree uknw nilisomea mambo mengi yakiwemo mambo ya fashioon....!

Uknw hayo mashati nilianza kuvaa nikiwa marekani nafanya kazi kwenye mgahawa uknw..nilikuwa navaa shati kubwa ambalo nililipa jina la phantom na kama lingepimwa ukubwa kwa vipimo vya kitanda basi lingekuwa ni 6×6 uknw... lilknipa umaarufu majuuz na nikaanza kupata followers wengi kwenye Fb... Uknw kwakuwa nilikuwa akili kubwaz toka zamani nikabuni shati lingine ambalo mtu anaweza akalifanya kama mkeka kwa ukubwa lilionao... uknw nilikuwa nalitumia kwenda nalo kwenye kumbi za starehe na marafiki zangu mabillionaire....!

Uknw nimepata followers wengi kupitia aina zangu za mitindo za uvaaji na mnavyo niongelea ndivyo napata madeal zaidi...Uknw nilivyo rudi bongo nilirudi na mashati makubwa kama manne yale mengine ni madogo lakini lepanya road wanasema makubwa kwa sababu hawajui...ninalo moja la kupikia liko classic uknw...nina shukuru watu wameanza kupenda...!

Uknw le madebe matupu mnapoteza muda kunijadili na mimi napata deal nyingi...Uknw am humbled...
hahahaha The king of all social network...View attachment 315770
Duuuh hahahaa nyie wapuuzi mnajua kupaka, daaah
 
Hahaha u know tulitaka ifanyikie uwanja wa taifa but bcoz I'm a big celebrity Imebidi niahirishe tu mamen coz kila mtu anataka kushuhudia harusi ya king of bongo all social media networks

Afu wewe una masters kweli au unapiga tu kelele hapa
Hahaaa usinikumbushe Harusi yake na kuchukuwa uwanja wa Taifa! Kwah!kwah!kwah!
 
Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar es Salaam na mmiliki wa vyombo vya habari (blog ya wananchi na live straight talk) ndg Lemutuz anatoa hela kwa shindano alilolianzisha na hivyo wataalam wa mambo kutafsiri kama fursa kwa vijana kutoka kwa tajiri huyoo huko instani.
katika shindano lake la kwanza Lemutuz au akili kubwa kama anavyoitwa na wasomi nchini alitaka mashabiki wake washindane kutaja majina ya watu aliopiga nao hii picha,huku akitaka pia wataje muda wakati picha hiyo inachukuliwa,bila kusahau tarehe huku akitaka pia wadau waseme kama alkuwa amelewa au laa na kama alkuwa amelewa basi alkuwa amkunywa bia ngapi ambapo hamna mtu aliyeweza kupata hiyo hela na hivyo kuamua kuja na swali lingine hapo baadae
12479200_910114812397451_1719671743_n.jpg

87d2661ddea6b4bcd21546c5243367e8.jpg
97a99659806e88e239f23d9447a2c3f5.jpg
1cbe964c9a1471ad4ace6de5c4452c9b.jpg
be82a0344ddd96ad7d6d36e29c2d9f09.jpg
 
Back
Top Bottom