Lemutuz amwaga mamilioni huko instagram

Lemutuz amwaga mamilioni huko instagram

87d2661ddea6b4bcd21546c5243367e8.jpg
97a99659806e88e239f23d9447a2c3f5.jpg
1cbe964c9a1471ad4ace6de5c4452c9b.jpg
be82a0344ddd96ad7d6d36e29c2d9f09.jpg
Wabebez mbona siwaoni???
Salama kwa Davis Mosha...

Have birds of the same feathers failed to fly together??
 
Hata mwenzake yericko alianzisha shindano mwisho akaingia mitini hajalipa watu mpaka leo
 
Wabebez mbona siwaoni???
Salama kwa Davis Mosha...

Have birds of the same feathers failed to fly together??
Nimekosa neno la kusema ila huyo marehemu hakua akiishi vizuri....mtoto wake mwili mkubwa akili kisoda hakua akimjali....angeweza kumpa maisha mazuri plus matibabu sahihi
 
Le mbutuz ni nani?
Au ni ndugu na Luiza mbutuz?
Mbona mabilionea wote bongo nawajuwa lakini yeye sijawahi hata kumsikia?
Huyu atakuwa Korongoe tu,Sema analazimisha nafasi isiyomfiti
humjui mmiliki wa zamani wa jf kabla hajaiuza kwa dola laki tano kwa mr max?
 
Hivi ile basdei yake ya kufikisha miaka 60 ilishafanyika? Hongera Le Mburulaz kwa kufikisha sitini
 
Hivi ameshahama kwao na kwenda kupanga au bado anakula na kulala bure kwa mzee Malecela?!
 
kwa vyumba vya dar..ukichukua shati lake ukalifanya kapeti...linaenea
 
Back
Top Bottom