Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
images

- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
 
ahonge RV4 wakati mwenyewe anatembelea Noah

Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
 
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
lkn Lemutuz inabidi uwe makini ,si unajua hawa Lembezz wanategesha ili uwape mil 5 kila mwezi
 
Hii ndio ile Anord Shwaziniga anasema "just hahhaaha"
 
Waliosema "knowledge is power" walikosea sana

Ngoja nicheke KINGEREZA, enheeehneee!!!
 
lkn Lemutuz inabidi uwe makini ,si unajua hawa Lembezz wanategesha ili uwape mil 5 kila mwezi

- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?

- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?

le Mutuz
 
Ivi unazani MSAGA SUMU yupo siriazi kama unavyofikiria... Na wala Akuna atakaechukulia ihii taarifa kwa umakini. Hivi na WW unaamini unaweza kummiliki hamisa wakati nasra asiejulikana hata na mjumbe wa nyumba kumi umemshidwa

- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?

le Mutuz
 
Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Wewe ushaolewa au Bado nataka nikuwowe
 
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
Samahani.
Najua wewe ni verify member humu JF.
Sasa unaweza kusema umri wako kwa sasa?

Maana watu wengi humu JF wanasema una umri mkubwa(50+years) lakini Akili na Tabia zako ni kama kijana wa kitanzania wa mjini anaye balehe.

Sasa ili tusikuhukumu vibaya, ni vyema ukaverify na umri wako ili kuondoa utata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom