Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
No
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
Kumbe mkuu upo jf
 
No
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz
Kumbe mkuu upo jf
 
Samahani.
Najua wewe ni verify member humu JF.
Sasa unaweza kusema umri wako kwa sasa?

Maana watu wengi humu JF wanasema una umri mkubwa(50+years) lakini Akili na Tabia zako ni kama kijana wa kitanzania wa mjini anaye balehe.

Sasa ili tusikuhukumu vibaya, ni vyema ukaverify na umri wako ili kuondoa utata.

- hahahahahaha hayo maneno yangekuwa muhimu mimi kuyajibu kama hao unaowasema wangekuwa wananilipia maisha hahahahaha pole sana pigana na hali yako kwanza

le Mutuz
 
Ka hamisa kenyewe hakana hata nyama daa
 
Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
We nawewe sasa nimesoma comment yako weeeee ulipozingua ni pale kumuhusisha MTU na ushoga mtaani,inakujaje we robot?
Mimi mtu nisotambua jinsia yake ni robot tu,sorry tho if it is disgusting.
 
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
images
images
JANANI HUYU JAMAA ANAUMRI GANI ?
 
Imebidi nimwonee huruma sana huyo le big body and brain less kwa kweli ............... Hapa ulitakakiwa uwe unazungumzia watoto kuwepo shule na kusubiria wajukuu................. sasa kweli umri huo 50++ + unadhubutu kuzungumzia le baby? kweli kua uyaone....... Kweli wewe na 50+++ yako unasema eti umeajiri vijana 8? Sasa si bora yule mwenye shamba lake la heka 200 na zaidi aliyeajiri vijana zaidi ya 30 na bado hawezi kuja kutamba kwenye mitandao? umri wako na unachokifanya kwa kweli sio kabisa ati studio ya ONTV na ajira ya watu8 shame on you Big body........................... Bora hata Mange mara mia kuliko wewe.............. vipi njoo kwa garage yangu uone nina vijana wangapi wanaojifunza tuu na wangapi wanafanya kazi na bado nitakunyooshe agari yako bure.............
 
- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?

- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?

le Mutuz
aseee,umeachana na africa sawahili tv wewe na ceo wako ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom