MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
ahonge RV4 wakati mwenyewe anatembelea Noah
lkn Lemutuz inabidi uwe makini ,si unajua hawa Lembezz wanategesha ili uwape mil 5 kila mwezi- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
lkn Lemutuz inabidi uwe makini ,si unajua hawa Lembezz wanategesha ili uwape mil 5 kila mwezi
- so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
Ivi unazani MSAGA SUMU yupo siriazi kama unavyofikiria... Na wala Akuna atakaechukulia ihii taarifa kwa umakini. Hivi na WW unaamini unaweza kummiliki hamisa wakati nasra asiejulikana hata na mjumbe wa nyumba kumi umemshidwa
Tena VOXY imechokaaa imepigwa pasi anashindwa hata kuludishia rangi mkono mmoja ha ha ha ha ha haahonge RV4 wakati mwenyewe anatembelea Noah
Wewe ushaolewa au Bado nataka nikuwoweUtoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Umeona ehh watu wanatuletea maigizo yakujifanya matawi mitandaoni but maisha yao halisia wanajua wenyewe na Mungu waoTena VOXY imechokaaa imepigwa pasi anashindwa hata kuludishia rangi mkono mmoja ha ha ha ha ha ha
πππππππ amemshidwa?/Ivi unazani MSAGA SUMU yupo siriazi kama unavyofikiria... Na wala Akuna atakaechukulia ihii taarifa kwa umakini. Hivi na WW unaamini unaweza kummiliki hamisa wakati nasra asiejulikana hata na mjumbe wa nyumba kumi umemshidwa
Samahani.- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
Tena VOXY imechokaaa imepigwa pasi anashindwa hata kuludishia rangi mkono mmoja ha ha ha ha ha ha