Lemutuz ashauriwe kuachana na Mitandao

mkuu styl ya maisha sio kanuni za chemistry darasan kila mtu ana styl yake weww km unafata kanuni fata hizo kanuni zenu za chemistry ila tu ujue wazungu wamewaweza sana adi leo mnamtusi mwafrica mwenzenu kisa haishi kikanuni mlizopewa na mzungu.
kwa kanuni ipi hiyo ya kizungu ambayo unasema wewe na yeye anaitekeleza?mtu mzima yule ni babaako kabisa lakini kwa mambo anayofanya ni utoto mwingi sana.
we hutindui mashine?zipo kila kona lakini mambo ya kila siku kila muda oooh wabebez niko hotelini 5 star blaah blaaah,ni mporipori sijui toka wapi manaaake sisi kina ambwele hatukuumbwa hivyo.
Kwa taarifa yako huyo bonge tulikua nae hapa zamani tu kashaaga mpaka akitoka huko NYC kwamba anarudi bongo. we labda ulikua bado sweken huko kwenu
 
Kama linasambaza upendo kwa wadada sio mbaya. Wacha awapunguzie makali ya maisha.
 
Kama linasambaza upendo kwa wadada sio mbaya. Wacha awapunguzie makali ya maisha.
hakuna tatizo kuhusu hilo,wote tunafanya huo upuuzi kwa muda unaotakiwa.kumbuka huyo mtu alishagombea uenyekiti ea community.
angeshinda ingekuaje
nafkiri toka pale ccm waliona hili boya kabisa
 
Boma liwanza.

Kasi yake kwa sasa anatuonyesha wabebez wanavyomlilia! Kwa tuliosoma Urusi ni kama anataka kuprove kitu.

Siungi mkono hoja ya yeye kutoka kwenye mitandao nitamisi uandishi wake.
hatakiwi kutoka maana ni burudani tosha,hata hapa tunamkumbuka sana
mutuz aliwakusanya matajiri wote wa Dar anavyodai kwenye kikao cha harusi yake wampe mchango 🀣 🀣 🀣 mchango akala na mke haijulikani yuko wapi.
jamaa ni full comedian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…