Lemutuz ashauriwe kuachana na Mitandao

Alirudi ya laptop ya hp kutoka USA..nadhani anajivunia sana hili pia
 
Hivi Le mbebez kitabu chake cha The American dream kilishatoka au ilikua fix tu you know...nothing personal haahaahaa Inye inye.
 
Huyu mzee wetu kiukweli ana tatizo kubwa. Ubaya ni kwamba hakubali kwamba ana tatizo na ubaya zaidi kujiona ana akili kuliko watu wote. Stress aliyo nayo ni ya dunia nzima. Haiingii akilini kabisa kupost kila siku umelala na mwanamke fulani. Pia ni mwongo hakuna mfano... aliandaa semina mwaka huu 2014 iliyokuwa sponsored na azam na makampuni mengine ila vijana tulipiga miayo kuanzia asbh hadi jioni bilabila. Lemutuz anatuambia tusubiri watu wa catering wanaleta misosi. Muda wa kutoka Davis Mosha akatoa 5000 kwa kila kijana. Na kwa age yake imeshakuwa too late kumrekebisha. Aachwe tu aishi anavyoona ili mradi hakuna sheria ya nchi anayovunja.
 
Asante mkuu. Umetoa ushauri konki sana. Huyu mzee anatakiwa apumzike atulize moyo unaomuuma coz kwa umri wake hapaswi kuwa na kashkash nyingi kiasi hicho.
 
Huyu jamaa anasifa sana uknow
 

Attachments

  • Screenshot_20230117-195406_Chrome.jpg
    124.4 KB · Views: 15
Yule jamaa hawezi kupokea challenge au ushauri coz anawadharau watu wanacoment ukweli ....ukweli unauma...nadhani Kuna matajiri wachache wanamweka mjini hao ndio wanampa kiburi
 
Le mutuz kama humuelewi ndo shida kwako...lakin ana akili kubwa Sana kuliko Wengi wanaojifanya kumponda .. social media inataka controversy..ili uweze kuzungumzwa... anafanya exactly that
Yap
Na unaweza kuta hata halali nao ni picha tu watu wanamfuatilia na kuanza kumwagika comments kila mtu na lake πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…