Lemutuz ashauriwe kuachana na Mitandao

Lemutuz ashauriwe kuachana na Mitandao

Hivi vitoto vinavyolamba lamba midomo, kuvaa pensi chini ya makalio pamoja sandals na socks wana la kujifunza kupitia huyu mzee maana hatma yao itakuwa kama hili babu.

60 yrs old man ana mentality ya 20 year old. Kitu pekee cha maana anachojivunia kumiliki ni jina la baba yake.
Alirudi ya laptop ya hp kutoka USA..nadhani anajivunia sana hili pia
 
Hivi Le mbebez kitabu chake cha The American dream kilishatoka au ilikua fix tu you know...nothing personal haahaahaa Inye inye.
 
E4646556-6D95-49AA-9A0C-CC9476B388DF.jpeg
 
Huyu mzee wetu kiukweli ana tatizo kubwa. Ubaya ni kwamba hakubali kwamba ana tatizo na ubaya zaidi kujiona ana akili kuliko watu wote. Stress aliyo nayo ni ya dunia nzima. Haiingii akilini kabisa kupost kila siku umelala na mwanamke fulani. Pia ni mwongo hakuna mfano... aliandaa semina mwaka huu 2014 iliyokuwa sponsored na azam na makampuni mengine ila vijana tulipiga miayo kuanzia asbh hadi jioni bilabila. Lemutuz anatuambia tusubiri watu wa catering wanaleta misosi. Muda wa kutoka Davis Mosha akatoa 5000 kwa kila kijana. Na kwa age yake imeshakuwa too late kumrekebisha. Aachwe tu aishi anavyoona ili mradi hakuna sheria ya nchi anayovunja.
 
Nimemfuatilia hivi karibuni baada ya kutoka India kwenye Operesheni ya Moyo naona anatukanatukana watu tu hovyo wanaochangia Post zake.

Nadhani kuna shida mahali,nasikia aliwekewa mashine kwenye Moyo wake na kuna mtu aliniambia ukiwekewa mashine kwenye Moyo unakuwa na hasira zisizoeleweka, sijui ndicho kinachomkabili au amepata shida kidogo.

Ila kutokana na yeye kuwa na Ugonjwa ambao hautaki mbambamba bali utulivu ni vyema akashauriwa atoke huko Mitandaoni coz hao anaowatukanatukana bila utaratibu siku wakianza kujibizana asije akashindwa kuamka.

Ni kwa nia njema tu coz tunampenda Mzee wa Wabebez wa rangi za mitume, na tunataka aendelee kura Maisha Bandikabandua na kuhang out na visu juu ya Gadem Visu you know!

Azidi kutupa Straight talks na free Education you know, watu tupige kazi tutafute hela Bongo ni tambarare ni kama Mbelezz you know!

Atuambukize American spirit tuargue kwa Facts.

Ni hayo tu narudi zangu Sweken Downtown sipawezi you know,mambo ya Fivestar na Battan Wavuvi Camp ni Gharama sana you know!,tumshauri King of all social media asijiue bila kujua you know!Boma Yee!Yee!Boma Liwanza!Liwanza!

Iam just saying nothing personal you know!It is so simple na sasa hii ni CASE CLOSED you know!NAFWAZ.
Asante mkuu. Umetoa ushauri konki sana. Huyu mzee anatakiwa apumzike atulize moyo unaomuuma coz kwa umri wake hapaswi kuwa na kashkash nyingi kiasi hicho.
 
Nimemfuatilia hivi karibuni baada ya kutoka India kwenye Operesheni ya Moyo naona anatukanatukana watu tu hovyo wanaochangia Post zake.

Nadhani kuna shida mahali,nasikia aliwekewa mashine kwenye Moyo wake na kuna mtu aliniambia ukiwekewa mashine kwenye Moyo unakuwa na hasira zisizoeleweka, sijui ndicho kinachomkabili au amepata shida kidogo.

Ila kutokana na yeye kuwa na Ugonjwa ambao hautaki mbambamba bali utulivu ni vyema akashauriwa atoke huko Mitandaoni coz hao anaowatukanatukana bila utaratibu siku wakianza kujibizana asije akashindwa kuamka.

Ni kwa nia njema tu coz tunampenda Mzee wa Wabebez wa rangi za mitume, na tunataka aendelee kura Maisha Bandikabandua na kuhang out na visu juu ya Gadem Visu you know!

Azidi kutupa Straight talks na free Education you know, watu tupige kazi tutafute hela Bongo ni tambarare ni kama Mbelezz you know!

Atuambukize American spirit tuargue kwa Facts.

Ni hayo tu narudi zangu Sweken Downtown sipawezi you know,mambo ya Fivestar na Battan Wavuvi Camp ni Gharama sana you know!,tumshauri King of all social media asijiue bila kujua you know!Boma Yee!Yee!Boma Liwanza!Liwanza!

Iam just saying nothing personal you know!It is so simple na sasa hii ni CASE CLOSED you know!NAFWAZ.
Huyu jamaa anasifa sana uknow
 
Attachments

  • Screenshot_20230117-195406_Chrome.jpg
    Screenshot_20230117-195406_Chrome.jpg
    124.4 KB · Views: 15
Yule jamaa hawezi kupokea challenge au ushauri coz anawadharau watu wanacoment ukweli ....ukweli unauma...nadhani Kuna matajiri wachache wanamweka mjini hao ndio wanampa kiburi
 
Le mutuz kama humuelewi ndo shida kwako...lakin ana akili kubwa Sana kuliko Wengi wanaojifanya kumponda .. social media inataka controversy..ili uweze kuzungumzwa... anafanya exactly that
Yap
Na unaweza kuta hata halali nao ni picha tu watu wanamfuatilia na kuanza kumwagika comments kila mtu na lake 😃
 
Back
Top Bottom