Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
View attachment 1083250
Duuu!! Hii ni zaidi ya Rweyongeza. Mgonjwa kueleza anavyoumwa anapita Marekani kuzungukia Australia anakuja Europe. Too much.. alipotoka out kwenye Dinner at the five star hotel yupo private hospital anawasalimia mabilione rafiki zake. You know
 
Tulijua tuu lazima upelekwe mahali na mwanaume mwenye pesa wewe mwenyewe 5 stars huwezi.
 
Fact ni kwamba ukifanya kaz sana kwenye ac kubwa lazima uugue nlipo kuwa US u know ishanitokea mara nying sana u know nashindwa kufanya kazi bila ac joto hili la dar lazima hii ndo fact
Case closed
 


mangekimambi_Get well soon uncle 🙏🏾. Please take care of yourself, Wewe ni mtu muhimu sana. Taifa haliko tayari kukupoteza, kumbuka wewe ndio unamiliki kibamia cha taifa
 
MANGE kimambi, anasema taifa haliwezi kumpoteza shujaa anayemiliki kibamia cha taifa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…