Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
UGUA POLE MZEE WILLIAM MALECELA!TANGU MWANZO NILIHISI UNAPASWA UENDE JKCI.UZEE NA MWILI WAKO LAZIMA MARA KWA MARA KUANZIA SASA UWE UNAKWENDA HAPO KUANGALIA MASUALA YA MOYO KWA UJUMLA.
ALL IN ALL GET WELL SOON MZEE WILLIAM MALECELA.
BABU MZEE JOHN MALECELA POLE KWA KUUGULIWA.
 

Naandika tena ugua pole kwa William.

Narudi kwako mdau
Kutumia kote JF yaani hadi leo hujui hata kusechi kwanza kabla ya kuamua kuandika kama vile watu hawamjali humu!!!!.. historia uliyotoa ni nzuri.. najua baadhi tunazijua hizo IDs. Nina kumbuka kwamba Jambo forums iliianza mwaka 2006 miezi ile ya mwanzo kama Feb vile..

Haya ona threads ambazo zilianza kurushwa tangu April 2019.


 

Umemuona leo Makonda pale kanisani alivyopendeza?
 
Jibu lako lina walakini sana; hata hivyo nimekuelewa.
 
so sad, Le mashati makubwa, upone haraka. Ila wewe ni hasara na nusu
 
Simuombee apone, hili jitu limejaa mavi tumboni na linafiki kufa, namuobea mengi aliyechangia nchi hii, siyo watu wanaotuharibia hewa kwa ushuzi
 
Ashakwambia yy sio mzee kwahiyo ondoa hilo neno mzeee
 
Yeye alisema amelazwa sababu ya kutumia sana AC.

Kwa umri wake na anashinda anatukanana na vitoto huko mitandaoni,mara kibamia kimerushwa mtandaoni lazima Moyo uwe juu juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe siyo mtu mzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…