Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
Hahaha, jamaa sio limbukeni ila amejua kuwa watz sisi wengi Ni limbukeni ndo maana anablend , wewe ukisoma hiyo caption unapata hata hasira lakini Cha kushangaza jamaa Ana wainfluence watanzania wengi tu. Unakuta wanaacha comments kbsa kwenye posts zake wakimsifia.
 
Kwani hajaku unblock??? Maana nimeanza kuona posts zAke tena...
Naona kahamua ku unblock wengi aliowablock mwanzo hata mm alinipiga pin ila nikashangaa siku hz naona post zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mkuu
mm naona baba yake mzee Malichela kimoyomoyo naumia sana kwa kupoteza bao lake kwa mtoto kama huyu,kina Makamba,kikwete,kawawa,Nyerere watoto wao wametulia sana kuliko hili jamaa
 
Naona wengi mnampondea le mobimba lakini nadhani huo ni uhuru wake as long as havunji kanuni na sheria za nchi, Anajipatia kipato kihalali na kaajiri watu pia kitu ambacho wengi mnaompondea hamjakifanya!!

Dunia hii yenye watu zaidi ya bilioni 7 sasa hatuwezi wote kuwa sawa kimaisha na namna ya kuyaishi hayo maisha....!! I stand to be corrected through valid justifications.
 
Aaa mkuu naona umetembea speed 180/h .umeamua hasira uzitoe zote,ila mtoto wa kiume ugonjwa wa ac .apa wenye IQ za kati tulifika mbali nilitaka ni google huu ugonjwa.akikaa mbeya si atakuwa wakukumbatiwa huyu.Au ni punga mkuu?
 
Huyu mtu kuna mahali fuse zimegoma si kwa upumbavu huu.
Kama huko hospitali labda akili itapata akili
Anaboa kushinda maelezo
 
Yaani huyu ingekuwa inawezekana hata siku akifa atatamani aamke kidogo apost jambo u know
apost picha za mazishi yake alafu ataanza kulalamika mboga kuna rafiki yake flani hajaja msibani
 
mm naona baba yake mzee Malichela kimoyomoyo naumia sana kwa kupoteza bao lake kwa mtoto kama huyu,kina Makamba,kikwete,kawawa,Nyerere watoto wao wametulia sana kuliko hili jamaa
Baba yake yupo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mm naona baba yake mzee Malichela kimoyomoyo naumia sana kwa kupoteza bao lake kwa mtoto kama huyu,kina Makamba,kikwete,kawawa,Nyerere watoto wao wametulia sana kuliko hili jamaa
Hata huyu le mutuz dada zake wamefanikiwa kweli kuna mmoja ana PHD mwingine Jaji nazani huyu tu ndio mzee alipata hasara alikataa shule akawa anajifanya ni mission town mpaka leo hajatoboa na miaka yake 65 jamaa ana mvi kama lowasa ndio mana ananyoa nywele aonekane kijana
 
mm naona baba yake mzee Malichela kimoyomoyo naumia sana kwa kupoteza bao lake kwa mtoto kama huyu,kina Makamba,kikwete,kawawa,Nyerere watoto wao wametulia sana kuliko hili jamaa
Huyu na akina JK hawajapishana zaidi ya miaka 10
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…