Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
mimi nampenda le mutuz. Anaishi maisha anayayoyaona kwake ni sahihi. Ingawa kwa wengine wanaona sio sawa. Ooh mzee ooh wewe sasa babu. Mwacheni mwenyewe hamuombi mtu. No matter what you do watu watasema tu. As long as mwenyewe yuko happy hajali. Ugua pole
 
Kaka mkubwa connection ya ugonjwa na dinner ya five star hotel ni nini?
Niliumwa then nikapata lemualikozz downtown na le boss kinje, alinilalika 5 star hotel kula batazz you know, ndio nikauchokoza le ugonjwaz now nipo hospital ya 5star downtown ila nimefanya siri kuitaja cz ya kuzuia mafurikoz ya watakaokuwa na shauku ya kuniona hasa mbebezz u know HAHAHAHAHAHAHAHA! nafwaaaaz walahi

- Lemutuz
 
Hahahahaahhahahahahahaha

Juzi hiyo tafuteni hela jamani acheni kelele mazafanzaz hahahahahaha, na mtoto mkali five star hotel ni makelelez yani full kimya hamna wauza mapanga huku wala wauza viatu yani full batazz hahahahhahaha

- Lemutuz
Eti kufanya kazi sana teh teh,ukuwadi na kujipendekeza kwa wenye nazo ndiyo kazi?Hili jamaa ni hasara sana

W. J. Malecela
lemutuz_superbrand-20190426-0001.jpeg
 
SEMENI BASI ANA KAZI GANI JAMANI KUPOOONDA TUUUUUU
 
Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
View attachment 1083250

Nadhani Kitu cha Msingi alichotakiwa kutuambia ni kuwa anaumwa tu na kwamba anatuomba tumuombee lakini hizo sijui AC mara Five Star Hotel na Hospitali aliyopo ni Siri nadhani Kwangu Mimi hapo amezidi kutuonyesha ' Udhaifu ' wake mkubwa wa Akili / Upeo.

Sasa unapoficha hadi Hospitali wakati kuna Watu kama akina GENTAMYCINE wana ' Upako ' wa moja kwa moja kwa Kumshika au Kumgusa Mtu ' directly ' na anapona kweli kwa hapa Msaada wangu Kwake nitautoaje kama hata Hospitali tu aliyopo sasa ni Siri?

Natamani sana Siku nipate wasaa ' Maalum ' tu niweze kufanya ' Exclusive Interview ' na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela niweze Kumuuliza Swali langu ambalo linanitatiza Siku nyingi kwamba huyu kweli ni Mwanae ' Biologically ' au labda amesingiziwa au ni Mtoto wa Kaka yake kwani sioni Uhusiano wa Busara na Uwezo mkubwa wa Hekima wa Mzee Malecela na Yeye ( huyu Mgonjwa wa AC )

Mtoto wa Kiume AC tu inakusumbua si hatari sana hapa na tayari umeshatuonyesha jinsi ulivyo ' Nyoro Nyoro / Legevu Legevu ' kabisa. Halafu kwa Mtoto wa Kiume ambaye kila Asubuhi Mnara wako wa Babeli unasimama kuja Mitandaoni na ' Kudekadeka ' kuwa unaumwa Ugonjwa wa ' AC ' ni ishara tosha ya ' Uvimelea ' vya Ukike Kike.

Mtoto wa Kiume unatakiwa Kuugua Magonjwa kama ya Kuvimba Pumbu / Kende, Mboo kuzidi Urefu, Gono, Kaswende, Kutiririka kwa Kasi kwa Shahawa nyingi Mbooni / Uumeni / Mkuyengeni na Tezi Dume ila siyo Kuugua Ugonjwa wa Kike Kike wa ' AC '. Siku zingine acheni ' Kutudhalilisha ' Wanaume wenzenu humu Mitandaoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom