Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,849
Hahaha I am humble u knowHahahaha u know guys am dead and i will send pic of sir god
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha I am humble u knowHahahaha u know guys am dead and i will send pic of sir god
Mndeee mi naomba tukukabidhi Le Mutuz umshuhuilikie mpk aache utotoKaka mkubwa connection ya ugonjwa na dinner ya five star hotel ni nini?
basi tu nibakili yakupenda sifa kama vile katoka ChatoYaani huyu jamaa ni limbukeni. Halafu limbukeni tena.
Niliumwa then nikapata lemualikozz downtown na le boss kinje, alinilalika 5 star hotel kula batazz you know, ndio nikauchokoza le ugonjwaz now nipo hospital ya 5star downtown ila nimefanya siri kuitaja cz ya kuzuia mafurikoz ya watakaokuwa na shauku ya kuniona hasa mbebezz u know HAHAHAHAHAHAHAHA! nafwaaaaz walahiKaka mkubwa connection ya ugonjwa na dinner ya five star hotel ni nini?
Le super hospital itabaki kuwa siri kuepusha maandamano ya watu kuja kumpa pole you know
Eti kufanya kazi sana teh teh,ukuwadi na kujipendekeza kwa wenye nazo ndiyo kazi?Hili jamaa ni hasara sana
W. J. Malecela
HahahahahaSEMENI BASI ANA KAZI GANI JAMANI KUPOOONDA TUUUUUU
Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
View attachment 1083250
Mwambie an unblock basi [emoji23][emoji23][emoji23]