Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

Ivf ipo overated hapo mikocheni ni dolar 5000 tu.madawa unanunua mwenyewe na clinic unaenda za kawaida.ukijipeleka huko upewe kila kitu ni hela ndefu sana bila sababu.
Unajuwa kwamba dollar 5000 ni zaidi ya Tsh 10 million?
 
Huyo Mangi Kimambi kumbe yuko kote kote, hata kwenye mitusi pia, nilifikiri ni mwanahakati tu!
 
Kumvalisha Pete ni jambo mmoja na Ndoa kujibu ni jambo jingine..

Awe makini tu kumfikisha kileleni asije kusaidiwa alf story za DNA zikaibuka.
 
Nimecheka sana eti the woman of his dreams, hadi umri huo bado ana dream ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…