Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

- Thanks Boss, ninategemea kufunga ndoa in two weeks to come ila kama nilivyofanya engagement.

le Mutuz Superbrand
Hahahahaa....Mobimba....le mutuz nation,Unatisha Mkuu ...sijui kwanini watotot wakali wanakukimbilia tuu
Ndoa yako Lazima Social media zote ziirushe....U know
Ur the king...le super star...
Always Salute the Nation!
 
Kibamia kile vipi? Atavumilia kweli kamashine kale au itabidi asake jitu jingine LA mkunazi? After all Lemutuz kazeeka unaokewa na mwanaume Wa miaka 54 unategemea nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ilishabarikiwa tayari? Picha Please
 
Libaba la miaka 65 , linataka kuoa msichana na kibamia chake na sasa linaumwa moyo, marehemu mtarajiwa
 
Apataye mke apata kitu chema!
Hongera sana kaka,
Mungu awajalie kudumu ktk kupendana na kuongezeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…