Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

Ivf ipo overated hapo mikocheni ni dolar 5000 tu.madawa unanunua mwenyewe na clinic unaenda za kawaida.ukijipeleka huko upewe kila kitu ni hela ndefu sana bila sababu.
hahaaa dolla 5000 kwa mbongo" aiseee"" ataishia kubebA watoto wawatu tu".. kiasi kama hicho kukipata kwa wabongo wengi" nimpaka wa cheze 3mzuka then sheTani awe upande wao siku hiyo
 
Itakuwa harusi ya taifa, TBC lazima waonyeshe live
 
Isije ikakusanywa michango na kamati ya harusi ikatengenezwa then zzzzzzzzzzzzzzzzzzz kama ile nyingine maana kamati ilikuwa imeshiba akina David Mosha n.k
Mbona ndo style ya muji huu sasa hivi. Watu wakifulia wanatangaza kuoa michango ikiwa mingi wanacancel ndoa wanakula michango
 
Lemutuz nyenyenye alikwenda majuu akiwa amemaliza form4 ambayo ni age btn 18-19, majuu kaishi kwa miaka 30, tangu karudi majuu ameishi bongo kwa miaka 7. ( 18 + 30 + 7 = 55 ), kumbe bado kijana
 
Wale mliokuwa mnasubiri zali la kuwa queen of social media networks mmechelewa the king himself is now engaged to a woman of his dreams.

Wifi aliyepatikana kigezo chake kikubwa ni kuto MUOGOPA MANGE, kumbe wengi walifeli mtihani wa kuwa Mrs Lemutuz kwa kumuogopa dada wa taifa.


- Thanks babe ubarikiwe U know!

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom