Lemutuz mobimba, Paul Makonda kakususa?

Lemutuz mobimba, Paul Makonda kakususa?

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Mzee wetu ni wiki sasa yupo hospitali taabani lakini anyemuita rafiki yake wa damu ambaye amekuwa akimsifia kila siku ndugu Paul Makonda hadi sasa hajakanyaga kabisa hospitalini kwenda kumuona

Hii inamaana gani au lekokobanga huwa anajipendekeza lakini hapendwi?
 
Umewasiliana na Mlinzi wa Hosp akakwambia kama jamaa hajafika?
 
Back
Top Bottom