Lemutuz na Instagram Part 2

Lemutuz na Instagram Part 2

Le Mutuz, Mzee wa sauti ya umeme..uko vizuri kaka..wengine hapa wanakuonea wivu kwa sababu hawana mawe!

Kiukweli I dont see anything wrong in what Le Mutuz does. Why? Tuache mentalities kwamba binadamu inabidi tuishi maisha fulani ya kuifurahisha jamii. Tukubali kwamba sisi ni tofauti. Kila mtu aishi anavyotaka as long as havunji sheria.

Field Marshall ES!
 
Michupi kama kaptura

Ila.mue pozi zake ru

Na hivi hana mwili wa nguo mmmmh

Mwenzangu yaani ni kichekesho!
Tuma.ta.ko twenyewe tumejikunyanta hovyo, tupaja twenyewe ndo hivyo mwenzangu na mie mradi tu naye kajitupia mtandaoni!
 
mmmh....anajiamini kweli. Ona viungo vilivyopinda lakini mwenzetu ye yupo mkujiachia tu!!!

Tangu lini umemwona kakata tamaa kwa kupondwa,kaforce u-celeb mpaka kaupata,si unaona HOD alianza kama yeye kumpromote diamond,kapondwa akaingia mitini sijui kafukuzwa kazi,ila lemutuz mpaka leo
 
Tangu lini umemwona kakata tamaa kwa kupondwa,kaforce u-celeb mpaka kaupata,si unaona HOD alianza kama yeye kumpromote diamond,kapondwa akaingia mitini sijui kafukuzwa kazi,ila lemutuz mpaka leo

Kumbe unamzungumzia le mutuz? Mi nikajua mbuta nanga maana ndiye niliyemuongelea!
 
Kumbe unamzungumzia le mutuz? Mi nikajua mbuta nanga maana ndiye niliyemuongelea!

Hahahahhha lemutuz ni celebrity mkubwa sana ana degree tatu!
 
Attachments

  • 1412788304727.jpg
    1412788304727.jpg
    45.4 KB · Views: 301
  • 1412788333596.jpg
    1412788333596.jpg
    46.1 KB · Views: 300
Kumbe unamzungumzia le mutuz? Mi nikajua mbuta nanga maana ndiye niliyemuongelea!

Aaaah basi tulipishana tunayemzunguzia!
Mbutananga anajiamini pia,we mtu na ile umbo lote na umri haogopi kupiga misamba na vichupi,sometimes mtu unajiuliza kama huna aibu kwa watu ndugu je wanakuonaje,ila yeye vyote poa
 
Lemutuz na Mbuta wote wanajiamini sana.

Hahahaha Dina lemutuz ni celebrity mkubwa Africa mashariki hivyo lazima abetue midomo kwa ishara ya furaha!
Halafu sijui kwanini hamuiti Mbuta mbebuzi mkaree?
 
Attachments

  • 1412790152178.jpg
    1412790152178.jpg
    45.7 KB · Views: 280
Last edited by a moderator:
Hahahaha Dina lemutuz ni celebrity mkubwa Africa mashariki hivyo lazima abetue midomo kwa ishara ya furaha!
Halafu sijui kwanini hamuiti Mbuta mbebuzi mkaree?

Hii miguu mimi ningekua navaa nguo ndefu hayupo wa kuionaaaaa duuu mjapo sijaumba hii miguu ni nomaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom