Lemutuz na Instagram Part 2

Wapi Le Ze bilionea njoo huku nyumba inaungua
 
Nasikiaga ni classmate wa Mizengo Pinda u know......

Le Mutuz amekula sana bata mamtoni ndio maana hana sura ngumu kama ya Pinda.

- Hahahahahahaha yaani wabebez mjini wanaita uso wangu baby face u know wewe unajisema mwenyewe lisrua lako kudadeki kama hukuzaliwa baby face sio kosa langu U know hahahahahahahaa

Le Big Show
 
- Hahahahahahaha yaani wabebez mjini wanaita uso wangu baby face u know wewe unajisema mwenyewe lisrua lako kudadeki kama hukuzaliwa baby face sio kosa langu U know hahahahahahahaa

Le Big Show

Aiseee!
 
Le baharia...natamani kuiona video clip uliorecordiwa na Jestina!u r so sexy u knw!
 
Mbona kuna mtu humu alisema kuwa uongozi wa skylight hauna taarifa hii?

- Mwanza nilienda kupiga Isnta Party kwa nani kaka sio Owner wa Skylight Band sasa unaamini hizi habari za m,ajungu ni kweli kwamba wanaweza kusema kitu kama hicho? Wachana na hawa mburulazzzz mkuu hawana jipya the Show is on U know hahahahahaha

Le Mutuz
 
Le baharia...natamani kuiona video clip uliorecordiwa na Jestina!u r so sexy u knw!

- Jestina ni mke wa rafiki yangu sana wa karibu Mamen Meru sina tabia ya kurukia wake za watu wabebez wote hawa mjini why nirukie mke wa mtu?

Le Mutuz
 
Nasikiaga ni classmate wa Mizengo Pinda u know......

Le Mutuz amekula sana bata mamtoni ndio maana hana sura ngumu kama ya Pinda.
ecela Today 12:10
#85

- Hebu angalia tena sura yangu hapo Mkuu bonge la handsome U know hahahahahahaha halafu babyface ndio maana wabebez wengi wanazimikia sana U know hahahahahaha I love me U know

Le Mutuz
 
- Jestina ni mke wa rafiki yangu sana wa karibu Mamen Meru sina tabia ya kurukia wake za watu wabebez wote hawa mjini why nirukie mke wa mtu?

Le Mutuz

Kwa hiyo wanakusingizia jamaniii....!!!? lol
 
Kwa hiyo wanakusingizia jamaniii....!!!? lol

Hahahahaha watakuwa wana msingizia sidhani kama Le baharia anavyo zimikiwa na Mabebez wengi hivyo anaweza piga hiyo kitu hahaha
 
Attachments

  • 1413280301228.jpg
    57.5 KB · Views: 110

Hahahaha u knw unakimbiza mabebez wengi ...we we ni sukari ya mabebez u know baby face
 
Attachments

  • 1413280494308.jpg
    51.9 KB · Views: 98
  • 1413280528323.jpg
    48.1 KB · Views: 94
- Eti jamani lili ni la kweli? mara kazi yangu kupiga nao picha tu mara wananisingizia hebu kubalianeni what is what U know hahahahahahahaha

Le Mutuz

Kwa hiyo hujarekodiwa?

cc; DMV Hahahaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…