Lemutuz na Instagram Part 2

- Jestina ni mke wa rafiki yangu sana wa karibu Mamen Meru sina tabia ya kurukia wake za watu wabebez wote hawa mjini why nirukie mke wa mtu?

Le Mutuz

Kwa hiyo Hamna ugomvi kati yenu?
 
- Yaani kweli hujaona picha nikiwa Zanzibar na Jestina kwa wakwe zake na nikiwa Dar na Mamen Meru? please ugomvi na nani juzi nilikuwa Escape 1 na Jestina au wapo 2 nini?

Le Mutuz

Duuu basi hatari sana...
 
ahahahaha hivi lemutuz na mbuta nanga wakioana watazaaa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…