Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio zako za kugombea ubunge wa jimbo la Mtera mwaka 2015. Kuna jamaa huko Insta anajiita " SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
Dah! Nimecheka sana" SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
she is very stupid
she????????
hivi huyu W. J. Malechela huwa ni Celebrate au?
Jina lake halisi ni nani huyo lemUTUZ