Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Anzisha blogu yako ya wasomi ili usikwazike.
Hhhhaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzisha blogu yako ya wasomi ili usikwazike.
Hhhhaaaa mi nimefanya mwaka huu nasubiri majibu
Anzisha blogu yako ya wasomi ili usikwazike.
Hhhhaaaa mi nimefanya mwaka huu nasubiri majibu
Mi nipo nchi za nje Kenya teh teh
Mkuu huko sio nchi za nje,ni nchi iliyoko kwny nchi za maziwa makuu
Maana watu wengine wanaboa kugeneralize vitu humu jamvini, utakuta na usomi wake wote hajawahi kurudisha hela bodi ya mikopo.Na mimi nimeamua kumgeneralizia sasa.
Hivi NANI ni GREAT THINKER
" SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET". [/SIZE]
Majibu ushayaandika hata kama ni ya uongo!Hhhhaaaa mi nimefanya mwaka huu nasubiri majibu
Aristotle na Plato... afu washakufa zamani!Hivi NANI ni GREAT THINKER
Duh, hii kali aisee!!
...
..
..
..
" SHATI LA LEMUTUZ LINATOSHA KUFUNIKA STARLET".
Mkuu hebu fafanua unamaanisha nini!
Mi najua nchi za nje kamwe hunibadilishi napiga box