Ni kipaji cha aina yakeAnacheka kuliko kuongea
ukikutana nayo kwenye simu lazima uingie mzimamzima kukutana sasa utazimiaSauti ya Le baharia iko seeexyy
singular ...plural siku ya topic hiyo hakuwepo classnaangalia mahojiano ya zamaradi na le mutuz clouds tv now.. le mutuz kaulizwa swali kuhusu watotot wake ambao wako kwa ex wife wake.. nanukuu
zamaradi: so unajihisi kama huna watoto au?
mutuz: no, they are my child..
duuh kwel kingereza hakiangalii mwili mkubwa,we mtu bonge la mtu kama le mutuza lakini ngeli inampiga chenga hahahahaha nipeni namba za ras simba
Dah,nadhan tv yako n chogo ila amejibunaangalia mahojiano ya zamaradi na le mutuz clouds tv now.. le mutuz kaulizwa swali kuhusu watotot wake ambao wako kwa ex wife wake.. nanukuu
zamaradi: so unajihisi kama huna watoto au?
mutuz: no, they are my child..
duuh kwel kingereza hakiangalii mwili mkubwa,we mtu bonge la mtu kama le mutuza lakini ngeli inampiga chenga hahahahaha nipeni namba za ras simba
Ana degree 3 tofauti huyonaangalia mahojiano ya zamaradi na le mutuz clouds tv now.. le mutuz kaulizwa swali kuhusu watotot wake ambao wako kwa ex wife wake.. nanukuu
zamaradi: so unajihisi kama huna watoto au?
mutuz: no, they are my child..
duuh kwel kingereza hakiangalii mwili mkubwa,we mtu bonge la mtu kama le mutuza lakini ngeli inampiga chenga hahahahaha nipeni namba za ras simba
Ni kweli mkuu alisema they are my kidsSikumbuki kama alitamka neno child wala hata children mwanzo hadi mwisho.
Sanaaa yaanSauti ya Le baharia iko seeexyy