issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
no, they are my childrennaangalia mahojiano ya zamaradi na le mutuz clouds tv now.. le mutuz kaulizwa swali kuhusu watotot wake ambao wako kwa ex wife wake.. nanukuu
zamaradi: so unajihisi kama huna watoto au?
mutuz: no, they are my child..
duuh kwel kingereza hakiangalii mwili mkubwa,we mtu bonge la mtu kama le mutuza lakini ngeli inampiga chenga hahahahaha nipeni namba za ras simba