Lemutuz on Clouds Tv

Lemutuz on Clouds Tv

naangalia mahojiano ya zamaradi na le mutuz clouds tv now.. le mutuz kaulizwa swali kuhusu watotot wake ambao wako kwa ex wife wake.. nanukuu

zamaradi: so unajihisi kama huna watoto au?

mutuz: no, they are my child..

duuh kwel kingereza hakiangalii mwili mkubwa,we mtu bonge la mtu kama le mutuza lakini ngeli inampiga chenga hahahahaha nipeni namba za ras simba
no, they are my children
 
Ila habari kama hizo ndio zinapendwa na hivi vyombo vyetu vya habari na hadhira pia
Angalia vipindi vya intellectuals uone kama ni maarufu kama hivi na hata hao waandaaji hawana uthubutu wa kualika wasomi.! Watawahoji nini?
Yani huwa natamani kukutana nawewe uso kwa macho, maana you always talk senses bro!
 
hivi huyo wanayemuita mbulula na wanaopoteza muda na MB kumjadili nani mbulula zaidi?
 
Back
Top Bottom