Lemutuz vs his Diaspora wife

Status
Not open for further replies.
Ila inataka moyo sana,tena moyo wa chuma....kwa hizi picha za kupiga akiwa na wadada inawezekena kweli jamaa ni kuwadi mzuri tu....
 
Kaaaaah mtoa habari bloguni naona kamuamulia le big show... U know !!!!!!!
 
- Huwa nawaza pesa ndio maana leo nimesaini mkataba mpya na AccessBank na kesho naenda kusaiini mkataba mpya na Movers wanaosimamia kumbi mpya wa kimataifa pale Millenium Towers so haya makelele ni good for me and my business

Le Mutuz

Alafu bado unakaa kwenye kiota down town, kwa nini kwa mikataba unayosign na mijihela unayodai unamake usiishi sehemu decent kama watu wengine wenye pesa wanapoishi unaishia kujambiana ushuzi na wahindi walala hoi, # i dont understand you know #Tiririkaaaaaaa
 

- Maisha ya Majuu yalinifundisha kukaa kwenye apartment, ningetaka kwa hela zote nilizotumia kukarabati Apartment ninayoishi sasa hivi ningezitumia kumalizia nyumba yangu Kinyerezi nikaishi kule na hata kama ningekuwa na shida ya kuishi kwenye nyumba ningehamia kule au ningeenedelea kushi nyumba ya baba yangu, hapa mjini ninapoishi ninaishi karibu na watu wengi wenye pesa kubwa hapa mjini wasiopenda kuishi nje ya mji,

- Eti ninakaa kwenye kiota? are serious au unatania 3 bedroom apartment inayouzwa Dola za Marekani Laki tatu unasema ni kiota na kwenye jengo jipya kama ninaloishi hapa town, please hahahahahahah

Le Mutuz
 
Ila inataka moyo sana,tena moyo wa chuma....kwa hizi picha za kupiga akiwa na wadada inawezekena kweli jamaa ni kuwadi mzuri tu....

- Ni maneno ya wakosaji na ni kelele za mlango, ha hahahahahaha leo tupo Little Theatre kwenye semina ya wasanii na Super Stars hapa mjini njoo uone watakaokuwepo hahahaha

Le Mutuz
 

Unajua We Mjamaa Ni Le Mburulaz Na Majibu Yako Mengi Yanaonesha Wewe Ni Le Kubwa Jingaz.Kama Hiyo Mikataba Yako Inakulipa Vizuri Kwanini Husifanye Yote Mawili?!
Hujenzi Miaka20 Haujakamilika Halafu Unadai Mikataba Inakulipa?!.

Hiyo Mikataba Yako Inakupa Hela Ya Kula Tu.Ya Kukufanya Uendelee Kusogeza Siku Hapa Mjini.Husije Ukaliwa Le Takoz
 

Tunaomba upige japo picha hilo jengo jipya unalosema tulione, manake nyumba ya national housing kama hicho kiota chako cha chumba kimoja haizidi hata laki kwa mwezi so bro acha kupiga kelele, niambie tajiri gani anayeishi kwenye kiota kama chako hapa bongo haha pole
 

- hahahaha 3 bedroom apartment inayouzwa USD $ 300,000 kinaweza kuwa kiota hahahaha umekwisha pole sana masikini wa Mungu hahahahaha, hii picha ni leo na Super Star Singer Shilole live!!


Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…