Lemutuz vs his Diaspora wife

Lemutuz vs his Diaspora wife

Status
Not open for further replies.
- hahahaha 3 bedroom apartment inayouzwa USD $ 300,000 kinaweza kuwa kiota hahahaha umekwisha pole sana masikini wa Mungu hahahahaha, hii picha ni leo na Super Star Singer Shilole live!!

Le Mutuz

Sasa me kuwadiz naweza mpata mama Kilango?Mimi ni tajiri nauza gongo na bangi tarime.
 
Hivi huyu baba ni kweli ana watoto US?? Kwa akili hii sio rahisi kuamini ni mzazi anaeweza kuwakanya watoto wake pindi wanapoenda sivyo!! Duuh kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.. Sasa hapo degree 3 yuko anajiringishia Shilole ?? Kweli huyu ni akili kubwa au kubwa za kichina lol!!!
 
- hahahaha 3 bedroom apartment inayouzwa USD $ 300,000 kinaweza kuwa kiota hahahaha umekwisha pole sana masikini wa Mungu hahahahaha, hii picha ni leo na Super Star Singer Shilole live!!

Le Mutuz
Jibu swali wewe mtu mzima ovyo acha kutekenyeka kama umeshikwa makalio au haapo sababu uko na shilole na wewe unajiona kadogodogo kama nuhu mziwanda haha, hebu tupia japo picha ya hiko kiota chako cha msajili tukione kama ulivyo kuwa unatupia kile servant quarter cha mzee malecela.
 
Alafu bado unakaa kwenye kiota down town, kwa nini kwa mikataba unayosign na mijihela unayodai unamake usiishi sehemu decent kama watu wengine wenye pesa wanapoishi unaishia kujambiana ushuzi na wahindi walala hoi, # i dont understand you know #Tiririkaaaaaaa

utabaki maskini maisha yako yote mark my word....you are racist
 
utabaki maskini maisha yako yote mark my word....you are racist

Do u know the meaning of racist? By the way wahindi wanajulikana all over the world kwa mashuzi sababu ya kula kunde na dengu..Na ww Gabachori nini?

P.S iam a self made billionaire so umasikini has got nothing to do with me #init
 
kweli nimeamini you are fool..nisipoteze muda wangu kujibishana na wewe..hopeless
 
sonko5.jpg
 
Huyu Le Mutus, naona wengine wanafuata mkumbo kumdharau, kila mtu ana mapungufu yake aisee. Na kuhusu kuachana na mkewe, ni suala lao binafsi zaidi wadau.
 
Le mutuz kosa lake nn mie siku zote npo upande wake huyo dada Ana matatizo yke maisha mzazi kitu kingine maisha kitu kingine tupo pamoja bro kaza achana nao wajinga wajinga wivu wao wa kitoto
 
Mama yakee.mzazi???au sijaelewaa sikuwepo nilisafiri..tell me plz before I cry..inasikitisha kama alimtupa ivyooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom