mwanamalilo
Member
- Jun 17, 2013
- 89
- 17
Jibu swali wewe mtu mzima ovyo acha kutekenyeka kama umeshikwa makalio au haapo sababu uko na shilole na wewe unajiona kadogodogo kama nuhu mziwanda haha, hebu tupia japo picha ya hiko kiota chako cha msajili tukione kama ulivyo kuwa unatupia kile servant quarter cha mzee malecela.
Sasa me kuwadiz naweza mpata mama Kilango?Mimi ni tajiri nauza gongo na bangi tarime.
I missed u badly..
Sasa me kuwadiz naweza mpata mama Kilango?Mimi ni tajiri nauza gongo na bangi tarime.
Alafu bado unakaa kwenye kiota down town, kwa nini kwa mikataba unayosign na mijihela unayodai unamake usiishi sehemu decent kama watu wengine wenye pesa wanapoishi unaishia kujambiana ushuzi na wahindi walala hoi, # i dont understand you know #Tiririkaaaaaaa
utabaki maskini maisha yako yote mark my word....you are racist
Do u know the meaning of racist? By the way wahindi wanajulikana all over the world kwa mashuzi sababu ya kula kunde na dengu..Na ww Gabachori nini?
P.S iam a self made billionaire so umasikini has got nothing to do with me #init
kweli nimeamini you are fool..nisipoteze muda wangu kujibishana na wewe..hopeless
daah le mutuz anatisha, nimependa majibu yake short and clear