4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sasa huo usomi unakusadia nini wakati makonda na vyeti vya kuunga ila wanamsema bilionea, ila pia waweza kua msomi ila ujaelimikaUsomi wangu ni zaidi ya usomi was ukoo wako wote ndio maana huwezi kunielewa!
Duuuuu lakini alipokua madrakani mlikua kimyaAlitumia madaraka yake vibaya sana, kutumia silaha za moto kuwatisha wafanyabiashara wampe mamilioni, hizo mali zake zinatakiwa kutaifishwa wakati yeye akienda gerezani.
Funguka mkuu.Ukisikia yanayompata Makonda kiuchumi kwa sasa, utasema Mungu ni fundi.
Mama hakukurupukaKwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi..
Hapa Hai bilioni unazipataje?, tumewekeza sehemu zote muhimu, -kupandisha watalii MT. Kilimanjaro, migahawa, hotel za kulala watalii, mashamba ya kahawa, shule na majumuisho hayafiki 100 milion kwa mwezi, na hakuna mwenye billion anaishi na kufanya biashara Hai.Utakuwa mmoja kati ya wale walinzi wa Sabaya, rudi shambani kalime.
🤯🤯🤯🤯Alitumia madaraka yake vibaya sana, kutumia silaha za moto kuwatisha wafanyabiashara wampe mamilioni, hizo mali zake zinatakiwa kutaifishwa wakati yeye akienda gerezani.
We jamaa ni bure sanaHapa Hai bilioni unazipataje?, tumewekeza sehemu zote muhimu, -kupandisha watalii MT. Kilimanjaro, migahawa, hotel za kulala watalii, mashamba ya kahawa, shule na majumuisho hayafiki 100 milion kwa mwezi, na hakuna mwenye billion anaishi na kufanya biashara Hai.
Unazipataje? Wenyeji tunajuana sana na hata kama hauishi Hai ukiwa tajiri tutajua.
Kakoko mwisho wa uchunguzi wake ilikuwaje? Limekaa kimya jambo hili.Muda ni mwalim mzuri sana acha wampekue na kuchunguza tutajua .....labda afichiwe siri kama Kakoko